kaka mm tinah nimemuacha mwenyewe kwenye maisha kunakitu kinaitwa uvumilivu ila nimevumilia nikachoka ,.basi angejalibu hata kuniheshim tu mengi nimemvumilia hata hajui bei yavocha yangu l swear hatakama ningeugua ningekosa contribution na nilikuwa na mpenz jaman 😭😭😭nika mvumilia sababu kwamda huo hakuwa nakazi kaka lakin bado ananidhalau nikimpigia sim ananambia nipo na mama akitoka nakuchek kweli jaman usipo mtafuta wew hakutafuti wallah duh stak mahusiano 😭😭😭na sihivyo tu tumeachana zaid yamala 1 ila hakuwah nikumbuka jaman mwe!😭samahan kwakukiandikia sms ndefu 🙏🙏
2026-09-27 12:23:21
3
Ībràhîmz✅ :
Kama kweli vile, lakini mbona kama siwezi ivi💔💔
2026-09-27 17:17:08
3
shaniter loveran :
😂😂 Ex wangu alidhani me nitajipendekeza kwake 😂😂anashangaa naendelea na maisha yangu na nmepiga kimya kama hakuna kilichotokea amebaki kuview my status😂😂
2026-09-26 23:47:33
8
Khadija Hamisi :
kweli kabsaah my brother 🥰🥰🙏
2026-09-28 07:45:10
0
ibraah :
kuna vitu huwa manongea kujifany mnajua sana kutupotosha kwa iyo km hakuonyesh kunipend niendelee kumng'ang'ania tuu c bora niondoke
ety kwl mm alup nmby tuachn nilikataaa nikamwamby tusiachn sas iv nip nae il danh njut bir ht ningekubal sas iv mpnz yk hayp km mwanz
2026-09-27 19:39:20
3
Fulgence 🇨🇩🇨🇩 :
ilinitokeaga hiyo kaka aliniacha nikaumia sana mpaka nikauguwa ugonjwa wa moyo.
Leo miaka 3 ametelekezwa na mtoto sijuwi nimsamehe?
2026-09-27 03:09:22
1
nancy wekesa :
ukweli kabisaa mungu nipe right person
2026-09-27 18:18:04
1
da onne :
Asante Kwa kunitua moyo naamin
nitawez
2026-09-27 19:52:05
2
aspe Boétie carisme pièce :
merci beaucoup papa nimeipenda iyi
2026-09-26 17:37:36
1
ashakasanga3 :
ni kweli kaka ...mie nilikuwa nalia kila siku ila nime mwambia mungu asante kwa kila kitu
2026-09-27 11:10:33
1
fatuma alfajili💞 :
da! kiukweri hakuna maumivu yanayodumu milele' niliumia nikajua siwezi kupata mtu mwingine. ila huwezi amini yule alieyekanifanya niumie amekua sio type yangu tena. ila mapenzi.
2026-09-29 14:18:20
0
joseline musekura💫💦 :
vraiment [Prière][Prière]
2026-09-29 14:08:33
0
Hamad Alii :
kwell kabisa
2026-09-29 16:47:22
0
To see more videos from user @sparoo_made_it, please go to the Tikwm
homepage.