kama mm nina kaz ya tende je ni kaz ya ndan au ya shamba
2026-10-02 21:30:26
2
Kuruthum Hassan :
mm aliniambia nisafishe ua nikakataa akapanik nikakwambia kasome mkata ba uyo ni mwanamke ila baba alishabiambia sio kazi yangu yy alikua ajui sijui
2026-10-14 17:24:19
1
Bint seiph :
hawakubari ukweli hao mamadam ukimwambia anakulazima na anakumbia nikazi yako na ht ukiomba msaada hupati
2026-09-26 17:30:53
7
Madam Hero :
Yaani wee Kaka Ulicho nifanyia Mungu Anakuona😭😭
2026-09-27 20:03:05
2
🦋Rimah🌹🇰🇪 :
kwli kbsa🤦🏻♀️Allah atufnyie wpsi inshaallah🤲🏻
2026-09-26 16:43:35
1
my only one💕 :
mm wananichikia mana nikipewa isokua yng naitikia2 halaf sifanyi! wenyewe wanajiongeza
2026-09-27 04:31:14
1
zawadi :
shida tukisema tinaambiwa tuko na midomo mirefu
2026-10-04 05:37:31
1
pili hassan :
ukijibu unaambiwa jeuri
2026-09-27 17:04:51
4
shamimu663 :
tatizo sisi wengine tukisema tunaambiwa tunaulimi mrefu
2026-10-02 16:01:00
4
Theopista :
Dah uko sahihi san kaka
2026-09-26 16:30:19
2
my mam nakpnd sn mam angu :
Ni kweli
2026-09-27 08:34:23
1
official rahwa🤩 :
wangu anakimbilia kulia😂😂😂unamfahamisha taratibu yeye analia ila saivi nina mnuno huo mpka kaacha kuniletea kazi zisizo nihusu na kunawakat ananiomba kwa gift
2026-09-26 20:13:23
1
Salha Deen :
kwel kabsa uoga nao siyo mzuri
2026-09-27 06:54:51
1
Aisha :
swadakta Mimi hiko kinanisaidia sana wananipa respect najua kujipambania kwa uwezo WA mungu Alhamdulilah sio mpaka ushtaki Kwa ajenti ongea n bosi wako kila kitu kwa ustarabu tu
2026-09-27 22:13:16
1
user504960077584 :
siyo mimi kaka madamuwangu ananijuwa misimamoyangu sipanik ila yeyemwenyewe anakujakusem kstaarab na tunaongea kwaupole tunafika muafka nikatae au aongeze mshahara ndonifany kazi ipondani yakazizangu
2026-09-26 17:28:02
2
kellysalha2 :
kama sisi atuna namba za ma boss wetu na passeport yangu iko nayo yeye jamani nikitak rudi nyumbani itaendeka aje
2026-10-12 08:07:10
0
mamuu 🌹🌹 :
Kaka Mimi naongelea uyu wakwangu hataukimwambia hanajifanya haelewi naanajua kabisa ilaanazimisha sasa mtukama uyounamfanyaje??
2026-09-28 14:39:30
2
Bint Hassan :
2026-09-26 16:37:09
1
sada habibu :
nikweli brooo ila hawatak kutusikiliza ukiwambia mm hizo sisheria kufua huwambia hizi nguo ni za family Moja na mshahar nihuo huo
2026-10-15 05:45:11
1
Mwanaidi :
kweli hapa yapo
2026-10-15 07:02:28
0
MAUA/ m🥀🌹 :
nikweli lkn miy huwa nawaambia natunae eleweshama tu ila nikiona kaja kwaasila kwamuda huo nafanya tu baad yahapo nikiona katulia namfata namuelekeza ili isije jirudia tena mwaka 4 sasa sijawai peleka kesi
2026-10-14 07:00:26
0
gloria jumwa :
Asante kakaangu
2026-10-13 19:10:42
0
sada habibu :
nikweli mm nguo zinatok mjin zinakuja kijijin ufuwe kweli kaka hii ni haki
2026-10-15 05:42:36
1
Nally :
exactly
2026-10-12 22:48:41
0
zasheid zai🥰 :
tatizo language kaka🤣🤣
2026-09-26 17:26:12
1
To see more videos from user @bishir_1, please go to the Tikwm
homepage.