@jamiivoice_: SEHEMU YA TATU: Mbunge wa Kigoma Mjini, Levocatus Chipando maarufu kama Babalevo, akibishana na Afisa wa TRA aliyekuwa ameambatana na askari Polisi wakati waliofika kwaajili ya kuonana na msanii Ommy Dimpoz. Tukio hilo limetokea wakati maafisa hao walipofika kwa msanii huyo na baadaye kuchukua gari lake kwa tuhuma za makosa yanayomkabili.
Dont do that again Dont do that again Dont do that again Dont do that again Dont do that again Dont do that again
2026-09-26 21:00:18
0
giftedpanja :
silent is also an answer, I love the guy in white shirt
2026-09-26 19:35:50
2
m :
majibu hayo ya dharau, mimi naungana na baba level, sipendi dharau
2026-09-26 17:34:21
116
allan :
mimi nipo upande wa jamaa wa tra yupo smart kakaa kmya kulinda kazi yake
2026-09-26 18:45:37
39
@Ushindi Edson :
Nimeona sehemu ya kwanza, Officer wa TRA hana kosa.
Jamani tufuate Chain of Command, Jurisdiction Authority na kuavoid kutumia nafasi vibaya.
Kosa la ukwei ninaloliona mim ni kuwa "Officer hajakitukuza chama, Officer kajisimamia bila uoga na mwisho kabisa ni Intellectual internal conflicts"
2026-09-26 19:17:44
12
dr khan :
unaweza kusema baba levo katumia cheo vby lkn hao TRA wanasifa sana
2026-09-26 19:49:55
14
Muzamilu Nachopa :
Huyo jamaa hata hajakosea,ila baba levo hapo ametumia vibaya nafasi yake
2026-09-26 18:41:26
23
kenRabaz :
ukute baba levo kashazimua
2026-09-26 18:38:43
9
batman :
mwambie aandike hiyo don do that again😂😂
2026-09-26 18:03:54
4
joy❤️ :
nani anamjubu vby kaka yetu jamn tumsemee kwa mama
2026-09-26 18:23:41
15
paulsololo :
Don't do that again
2026-09-26 21:20:17
0
LeBron :
hapo ni serikali kwa serikali kosa la kiufundi mtu wa TRA ame miss behavior akiamin baba levo standard 7, baadhi ya wasomi hawajui Kuna akili za kusoma ni tofauti na akili ya kutatua changamoto za kijamii na zingine. kwani kitengo cha maadili ya wafanyakazi wa TRA hakipo? hapa kuna kosa la kifundi
2026-09-26 18:21:47
14
Salum Haroub :
ss amekwepa kodi iyo gari ameenda kuiba apo bandarini au mbona hatuwaelewi
2026-09-26 17:05:56
9
Baghabagha Ing'weng'we :
kuwa mbunge ndo unataka kuzuia kazi za serikali zisifanyike
2026-09-26 19:40:53
3
kidalipambe :
na kwanini iwe usiku madai gani usiku hao niwasiojulikqna
2026-09-26 18:11:23
6
Njowelo :
october kulikuwa hakuna uchaguz,
2026-09-26 16:50:42
17
George magari mwanza TZ🇹🇿 :
uko sawa mh wewe ni kiongoz wa mwananchi yeyeto TANZANIA 🇹🇿
2026-09-26 18:17:55
9
gurubay :
hii ni hatari sana kwa pande zote mbili kwasababu kila mtu yupo sahihi ila shida inakuja Kwako msoma comment hujambo
2026-09-26 19:02:13
5
The Ibrah :
hapa baba level amekosea... (ameteleza sana)
2026-09-26 19:52:39
0
chuma :
Udiwan ni level ya juu sana Nafas za kuchaguliwa ni ngumu sana. ujumbe tuu wa serikali ya mtaa au kijiji ni ngondo kuupata
2026-09-26 20:21:19
1
Vibe ~Scott~ ⏳️🌵 :
wafanya biashala ndiyo tuna jua kejeli za TRA
2026-09-26 20:55:45
1
Queen jey :
ukweli wa mungu sipo upande wa baba level anatumia vibaya cheo chake walahi
2026-09-26 20:06:25
1
rickmusic :
asipanic babalevo mbona jamaa hanamakosa jamn angelini sehemu kwanza muhusika yupo hapo sianawezakujibu why ajibu babalevo wakati yupo momy apo
2026-09-26 20:39:06
3
Beny :
wa tra yupo sahihi
2026-09-26 19:03:55
0
Dr.Sikamona :
UMECHAGULIWA NA WANANCHI!!!!
2026-09-26 18:28:47
2
To see more videos from user @jamiivoice_, please go to the Tikwm
homepage.