Unamuona huyu mashallah ana Uslb ya mtume wetu Sio wale wanao tukana wallah maneno yameshinda dhahabu jazakllah kher
2026-09-27 08:57:22
5
Lalwitta :
Hii Agency gani?
2026-09-27 11:44:20
0
Blacks :
kwahyo apo ayah haikumaanisha jihaad??
2026-09-26 20:06:39
0
Abdusalaaam :
Allahu akbar sh nurain back 2014 masjid al faris mwandoni May Allah bless you with good health a long and blessed life Ya Sheikh
2026-09-27 15:41:40
3
Mulla Omar :
dini bila silaha hakuna jamb shekh
2026-09-27 20:59:17
3
kivurandeomary :
MAASHA ALLAH umenipa funzo kubwa sana shekh
2026-09-27 07:48:05
2
Al Husseyn🇹🇿 :
mashaallah mafunzo mazuri yenye elimu alhamdulillah
2026-09-27 14:29:42
3
Gozito :
Umanaa pale makadara,But Agency pia ni Bidaa.Kama Mtume صلى الله عليه وسلم Alifunguwa Agency yoyote wakati wake tujulushe.
2026-09-28 06:06:00
0
Night crawler :
نحن امة الإسلام أمّه التوسط لا تفريط ولا افراط dini tuifate kikamilifu na silaha na idadi zitimizwe ndio nusra kikamilifu ipatikane tusijate moja tukaacha lengine
2026-09-27 12:54:33
0
Director Mohaa :
Watu wa Tanzania/ Zanzibar wacheni hamasa ndugu zangu, sheikh anaongelea vile maswahaba waliasii amri ya mtume kama vita za Uhud, na kushuka mlimani juu ya kuokota ngawira, maangizo ya mtume walikua waishuke hadi shughli ya Uhud iishe. Na akaaongelea mambo ya Bidhaa, hakuna Bidhaa nzuri, Bidhaa ni Bidhaa. Wacheni hamasa ndugu zangu eleweni mada, hakuna mtu anaweza pinga surah tul Taubah. Eleweni madah mufaidike na elimu. Asanteni.
2026-09-27 19:32:31
2
Abdul :
Shekh Nurein Allah akulinde na akuhifadhi
2026-09-29 14:06:40
2
@ abuu junyd :
dah huyu sheikh bana Allah Amuifadh sheikh Nurain kama cjakosea
2026-09-28 08:59:15
2
JIPE SHAVU :
Sheikh Nurain Hafidhahullah
2026-09-27 11:37:48
3
أبو دجانة :
BarakaAllahufiik💯
2026-09-27 20:58:02
2
salum h.h :
mashallah
2026-09-27 18:00:55
1
ابو فظل :
Afwan. Allah akuhifadhi.
mafunzo mazur mashaallah
2026-09-27 19:46:46
1
Mussa123 :
mashaallah
2026-09-28 04:46:01
2
Safina Tandiko :
barakallahvkhayr
2026-09-28 18:31:40
1
Dyzalt55 :
swadaqta
2026-09-27 04:56:35
1
ATAKALO .... MOLA :
tafadhali usilamu ili simama kua silaha na
weka maneno yako sawa pls
2026-09-29 06:54:15
0
ghaniflan03 :
Mashaallah Baarakah Allahufik
2026-09-28 19:31:08
0
Solitude seeker :
Jazakh'Allah Kheir
2026-09-30 17:57:30
1
nassir lali :
Allah Akbar
2026-09-29 05:50:49
0
Muhammad Amur :
ELIMU NI SILAHA.
KUIKUSANYA QUR-AN KWA NAS HAF BIDA GANI
2026-09-29 05:33:05
1
Omar :
Mash Allah.
2026-09-27 11:01:42
1
To see more videos from user @mohamedfaridali2, please go to the Tikwm
homepage.