Baba Lebo hakika ni Mbunge mzuri sana, anaongea kwa mamlaka ya wananchi. Nimemfurahia sana.... Kukosa uniform siyo sawa, maana kitambulisho mtu anaweza kuchonga fake..
2026-09-26 19:28:19
79
Elias kaswahill 1111 :
safi balevo tunakukubali
2026-09-26 19:06:33
130
MEI Electrical Installation :
hii nchi huyu ndio changuo langu japo sio wa jimbo langu
2026-09-26 18:59:28
48
Pastor Mwakyembe | KINGS TV :
Hajui maana ya mbunge, na hajui kwamba TRA wote wako chini ya wabunge hasa jimboni.
Note:
Mbunge = Muwakilishi
2026-09-26 20:13:52
20
lud :
afisa wa TRA yuko sahihi 100 kama kun mtu anabisha akasome kifungu cha sheria namba 21 cha TRA ACT au 9 cha ECCMA2004 RED 2023 kinachozungumzia intergrity of an officer
2026-09-26 21:45:28
12
chimoo :
TRA wanakera jamn wanakera wanasumbua
2026-09-26 17:57:07
26
HeIsMax :
Hata kama taarifa ni confidential alitakiwa kumjibu in a professional way. kama mbunge bila kutoa taarifa za raia. like a brief explanation that taarifa ni confidential au si confidential and thats it.
2026-09-27 04:48:03
1
Alwi Hadi :
Tra. Officer Yuko sahihi. Siri mteja haitolewi. Jama Yuko hapa kwa nini. Usimuulize ??? Well done TRA officer Habari ya kwa mbunge ina uhsiana nini. Na haya. Let the TRA. Officer his. Job
2026-09-26 21:07:36
9
sylvanus sakumba :
Tunataka wabunge wa hivo
2026-09-26 18:43:39
27
Joy :
Saa 11 ila njaa
2026-09-26 18:10:16
26
professor Alfred :
hv kwann usipewe hata unaibu waziri mkuu
2026-09-26 18:13:16
31
hamzamakame0 :
Asante baba asante tena
2026-09-26 19:01:55
0
faridi wadi :
safi baba levo
2026-09-26 20:17:21
0
Judy :
TRA wapo sahh kbs
na palikua na sababu zip za kurekod
2026-09-27 05:43:41
5
FUNDI TOZZY TZ :
kabisa baba levo yupo sahihi wanazingua sana
2026-09-26 21:16:56
12
georgeatupelege :
TRA Yuko sahihi,hawawezi ku expose Siri ya mteja ety kisa wewe mbunge,unless otherwise ommy atoe ruhusa ya kujua tatizo lake,
2026-09-27 07:53:16
5
hidden_soul :
inapaswa kila mtu ashuhulikie majukum yake ya kazi
2026-09-26 17:59:56
33
bensoni slvester :
sana baba levo wewe ni mtu
2026-09-26 18:27:02
17
miti shamba asili yetuu🌳🌾🌵 :
waha gonga like apa
2026-09-26 19:58:08
12
✝️ 🇹🇿 :
Huyu polis wa kiraia ni kelvin wa mtaan kwetu huko moshi
2026-09-26 19:00:07
11
BRIGHT ONE :
asantee kabia juu,
2026-09-26 19:27:06
5
Hasani hashm :
TRA hata uku wa moto sana
2026-09-26 18:07:55
6
To see more videos from user @kadomediatz, please go to the Tikwm
homepage.