kanisa linakuwa na wanasiasa sasa kwani nilazima kila mtu aende na maono yako kuwa na kanisa watu watakuja wenyewe bana
2026-09-27 08:56:11
3
Leah Ngele :
sas kam awataki nifanyaje?????
2026-09-27 09:18:10
1
jane :
kwani wainjilist Kazi Yao nini
2026-09-27 05:24:32
3
MAN OF GOD MBEZI :
Mzee wangu acha kuwa na makasiriko...kila mtu kuna wito alioitiwa.
ndio maana,wewe ni mchungaji,kuna mwinjirist na kuna mwimbaji na kina shemasi.sasa tuache makasiriko pastor
2026-09-27 16:37:27
1
Drack bree💤y :
naombn nmba ya hyo mzee😊
2026-09-26 21:06:29
1
Lee🌼 :
Ukisoma kitabu cha matendo sura ya 6 kuna watu waliongezwa katika huduma walizokuwa wakizifanya wanafunzi wa Yesu,akiwepo stephano, filipo nk.Hawa walikuwa kama mashemasi tu lakini ukisoma matendo sura ya 7 na ya 8 utaona kazi walizozifanya.Hivyo Mchungaji yupo sahihi usikubali kuwa mkristo wakupiga makofi na kutoa sadaka tu hakikisha maisha yako(matendo),huduma yako ifanye injili ya kuwaleta watu kwa Yesu!
2026-09-27 17:24:21
1
G. Nick :
Hahaha Asantee Yesu. nikihesabu nilio leta wana fika 7
2026-09-27 04:47:42
1
Melichades Felician :
Aminaa
2026-09-27 11:22:28
1
ENC :
na unajua yakwamba ilo kanisa linajaa kwa ajili ya music?
2026-09-27 18:12:06
0
Kemmy Rwechungula Francis :
Naombeni namba ya sadaka maana huyu ni Mungu anaye mtumia huyu mtumishi wake kusema nasi.
kila ninapo muona huyu mtumishi namuwazaga Eliya.
2026-09-27 18:52:50
0
jagguar :
wewe umeleta wangapi sasa😊
2026-09-27 16:44:51
0
Benson deus :
pasta nimekupenda bulee bb mungu azid kukulinda unamsimamo wa kiroho
2026-09-27 17:11:28
0
sala :
safi sanaaa mzee wangu! hata mimi hasiyeleta watu kwa yesu sipendi hiyo tabia ! nifuate nami nitakufanya mvuvi wa watu! Main order of Christ
2026-09-27 17:45:34
0
Agatha mbwilo :
Hapo sasa 😁.
2026-09-27 16:31:14
0
Minister josephsengati :
safiiiiiiii😅😅😅😅😅😅
2026-09-27 05:29:42
1
jurias kisiri. :
uko sawa paster
2026-09-27 02:50:46
1
Jesca Obadia :
amina
2026-09-26 20:18:33
0
The Lastborn :
suala la kuleta mtu kanisani sio suala la mtu flani na flani, hili ni agizo kuu la kila mshirika, sio flani na flani, hafu na nyie ambao mnajikuta mnajua saaaana kumlaumu Magembe nyie ndo bado mna roho ya kutokuwaleta watu kwa Yesu na mpo makanisani, huwa sijui mnaenda kufanya nini, au ndo wale mkitoka kanisani mnakuwa hamna tofauti na watu wa mataifa, najua mtanitukana, sawa tu, na Mungu awabariki sana. Amen
2026-09-27 19:20:23
0
user10pita777 :
Amina
2026-09-26 18:06:57
0
King George :
huyu pastor pia ameanza kuzingua ni shairi gani kwa Bibilia inasema inasema walawi walileta watu kwa Yesu?ama huyu pastor amesahau kazi ya walawi kanisani...
2026-09-26 23:03:28
2
Johnson Macharia :
kama hawaleti basi wewe imba kwa kua umeleta wengi kwa kristo
2026-09-27 11:27:54
2
MHUBIRI WA IMANI YA KRISTO :
dini ya yawagani ninalazimasha kureta mtu, ktk ibada yawo ya giza
2026-09-26 17:57:42
1
Dean Brian :
wahubiri wengine kama hamna cha kusema mnyamaze tu...you are the pastor you preach
2026-09-26 18:08:15
2
Kemmy Rwechungula Francis :
wasituletee malololongo wala maloloso.
2026-09-27 18:53:34
0
To see more videos from user @fariji.edson, please go to the Tikwm
homepage.