Iyo ni Crankshaft position sensor
sio Camshaft position sensor engineer wangu,ila sio kimbea.. 😁
2026-09-27 02:20:37
2
👑KING MSYELE :
Iyo ni Camshaft position sensor au Crankshaft position sensor?
2026-09-26 17:29:18
0
fatherc :
rpm yangu Toyota spacio inaanza na moja hainzi na 0 why
2026-09-26 19:35:46
2
Joshua mafashion ✅ :
Navip Inaweza kusababisha gali isipokee Gia D au R
2026-09-27 16:13:05
1
@mgonasipapune121 :
Nina ushuhudaa na hiyo sensor😃😃😃😃
2026-09-26 18:15:19
1
marejeta :
2pe madini baba
2026-09-26 19:04:34
1
sourhernboy :
Nmekutana nayo kwenye voxy hiyo leo dadeq
2026-09-26 19:24:33
1
mechanic work.🔥🔥 santezery :
saw fundi chipkizi
2026-09-26 19:03:19
0
charles :
nakubali
2026-09-26 20:51:11
1
Breezy :
Hii senser Ina tabia kama za ex wangu
2026-09-26 23:16:56
1
Master :
sawa
2026-09-27 11:58:26
1
Andrew Mangare :
nitumie namba ninashida naww
2026-09-28 12:21:56
0
user 55556777 :
hiyo ilinitesa sana gari ikiwa moto inazima ☺️☺️☺️lakini niligundua bila kutumia machine 😊😊
2026-09-28 05:12:13
0
msalu :
nakubali hiyo sikuwa nayo mkuu
2026-09-28 01:14:41
0
REAL_ABU :
dah itabid nifwatilie na mm maana kuna time gar inagoma kubadili gear zinakubaki za mbele tu no reverse naunatembelea gia moja tu lakin badae inakubali.
2026-09-28 06:44:53
0
Chipika :
inakaa sehemu gani kwenye gari
2026-09-27 09:21:49
1
shafani Reuben :
uko maeneo gani arusha
2026-09-27 20:37:17
0
mechanic work.🔥🔥 santezery :
Acha uongo
2026-09-26 19:02:56
0
To see more videos from user @chadema.umeme, please go to the Tikwm
homepage.