miezi miwili nimekaliwa kimya na hatuna ugomvi wala nini jamaa ameamua tu kunighost nimechoka mimi kuwa ni mtu wa kuomba mtu anipe attention na mie nimekaa kimya na kwa sasa sina hisia nae tena
2026-09-27 05:02:58
5
avelyne g :
aiseeee😔
2026-09-26 17:37:53
0
barry julius :
ukimtafuta hapokei cm au akipokea cm anakujibu mkato hapo kaka ww unafanyaje
2026-10-07 07:16:22
0
naah 💗cute :
ye akazane tu uyo mtu bhan
2026-09-29 21:28:58
0
Sania Mwakalinga :
kweli
2026-10-07 06:43:37
0
Single girl 🇰🇪🇴🇲😍 :
Simtafuti simrudii minasonga mbele😁
2026-10-03 04:56:49
0
Binti Yuri :
😂🤣🤣ndio tulipo
2026-10-02 20:09:20
0
Natalia martin :
sitaki kusikia chochote kuhusu mahusiano
2026-09-30 11:28:17
0
ir btp Jeannot muhindo kisonia :
ndiyo asante sana
2026-09-26 20:25:50
0
To see more videos from user @bongoplugtz, please go to the Tikwm
homepage.