@millardayo_: Waandaaji wa Tamasha la Miaka 30 ya BongoFleva wametangaza kutekeleza adhabu iliyotolewa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kumlipia kiasi cha shilingi milioni tatu Msanii Godfrey Tumaini maarufu kama Dudu Baya. Kupitia taarifa iliyotolewa leo na Mmoja wa Waratibu wa Tamasha hilo, Madee Ali amesema baada ya kupokea maamuzi ya BASATA, wamekubali kuyatekeleza na kwa haraka kulipa faini iliyotolewa kwao, pamoja na kulipa faini iliyotolewa kwa Msanii Dudu Baya. Waandaaji hao wameihakikishia BASATA pamoja na Wadau wa sanaa Nchini kuwa wanaheshimu maamuzi yaliyotolewa na wataendelea kutekeleza wajibu wao kwa kuzingatia taratibu na Sheria zilizowekwa. Aidha, wameeleza kuwa ushirikiano, uwajibikaji na uzingatiaji wa Sheria ni miongoni mwa misingi muhimu katika kulinda, kukuza na kuendeleza sekta ya sanaa Nchini. “Tunatoa shukrani kwa BASATA na Wadau wote kwa ushirikiano wao, huku tukiahidi kuendelea kushirikiana na mamlaka husika katika kuhakikisha Sekta ya Sanaa inakua na kuendelezwa kwa kuzingatia misingi ya kisheria na kitaaluma,” #MillardAyoUPDATES

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 17:33:08 GMT
115929
4358
206
106

Music

Download

Comments

master.cholo8
Master Cholo :
I BETTER WATCH ⌚️MY BACK 😂😁 NALINDA MGONGO
2026-09-27 03:13:35
0
fdavid633
Florancean :
Kwenye show amtaje mwingine sisi tutalipa
2026-09-26 18:23:45
115
user8141481483258
user8141481483258 :
Man of the People 😁
2026-09-26 19:04:47
0
red.shecka
Red Shecka :
🔥 24 we live our lives Men 🔥🔥🔥🔥
2026-09-26 18:28:40
0
by_the_way_____
Midnight :
You berra watch your back 😂😂😂
2026-09-26 17:41:55
0
avan_ivy006
avan❤️‍🔥_ivy006.🧚‍♀️🧚‍♀️ :
hawajatum ya kutolea
2026-09-26 18:04:44
31
mamumunir
sweetmamu :
wawooo well done
2026-09-26 21:47:46
0
joellytz0
NengaTz :
show ijayo Watajee tena sisi tutalipa
2026-09-26 19:29:45
25
user6803911058398
max pamba kali :
hiii ndo maana halisi ya mtu wa watu🔥🔥🔥
2026-09-26 17:38:07
153
ma.mgwani77
Momma🦋🫧✨🥷 :
Halaf wakisha zipokea wanazifanyia nini🤔
2026-09-26 18:07:22
17
sanahbngolope
le cours de la vie fxiè🙏 :
mbn yakutolea haipo au ni benk acc.
2026-09-26 18:35:21
15
bakari.kimaro
Bakari Kimaro :
😳😳😳sasa mkaguzi na mdhibiti Mkuu wa serikali aje kuwakagua basata
2026-09-26 18:14:07
18
geraldjabu1.com
Gerald Jabu1 :
Safi sana na kwenye show awepo kama kaiwaida 😁
2026-09-26 17:46:08
63
sparrowthejunior
Hazgary the junior 🌼🌸 :
mchongo pesa tyuuuu ish na watu vzr
2026-09-26 17:44:03
40
yuleboy088
**Mr Comments** :
Tumeshasema ivi kazi yake yeye kutaja sisi kazi yetu kunalipa 😂
2026-09-26 22:07:21
6
cresencia.godwini
Cresencia Godwini islaely :
safiiii hakuna kumuacha Dudu katika harakati izii
2026-09-26 18:07:47
15
jacksonngumba
Jackson Ngumba :
Siku zote anayetenda mema Mungu husimama upande wake
2026-09-26 18:23:09
32
hauwah365
Haulah :
Mambaz24 for life......
2026-09-26 18:20:47
3
gebrano6
Gebrano🇹🇿 :
Nawatoe ufafanuzi wa milioni tatu wanafanyia kazigani? atutaki upuuzi hawam hii
2026-09-26 19:30:14
6
southkids1
mohbad temba :
huyu ndo rais wetuu Tanzania [Pray][Pray]
2026-09-26 17:40:17
24
aproniacruz1
💓 MRS KOMPA 🎶✌🏾 :
YBWYB👍🔥🔥🔥🔥
2026-09-26 18:03:41
8
brendazabron
miss B💦🔐💫 :
mambaz 24
2026-09-26 17:39:53
9
realtebethy.og
real_rey🫶🥷 :
Mamba’s 24 for life
2026-09-26 18:07:35
6
user8758022274686
Sinally :
Gud
2026-09-26 18:25:36
2
silvanusnyangi
MR. Casio :
watu weweeeeeeee
2026-09-26 18:02:21
4
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About