Wanasema growing something like maize ni kupoteza muda, cause government wanawapangia bei ya kuuza
2026-09-27 15:58:21
1
georgysamwesongo :
asant
2026-09-27 07:03:21
1
godwiniabel :
Asante kaka kwa hamasa, nashukiru mwenyezi Mungu kuzaliwa Tanzania
2026-09-27 10:45:56
1
Nass :
Tuna fursa kubwa sana kwenye hii sekta ya kilimo lakini kama nchi tunakua vizuri kwenye uzalishaji duniani, kwanini tunashindwa kuyafikia hayo masoko ya nje, je ni kukosa taarifa, je tunazalisha Kwa kiwango kikubwa lakini ubora mdogo, shida ni nini?
2026-09-27 09:12:10
1
EsyE :
ivi mihogo ina soko la nje kweli?
2026-09-28 04:18:10
0
WATWEGO :
Safi sana, Nafuga samaki sato wenye interest ?
2026-09-29 16:11:18
0
Ngonifaceless channel :
korosho nchi ya 3 Duniani
2026-09-27 07:15:14
1
Isiaka Kapemba :
kweli
2026-09-27 11:58:08
0
Becka :
Ankko voppi kuhusu kilimo cha mpunga?,nawezaje pata soko
2026-09-27 16:46:10
0
ziyaad :
vp kuhusu vegetables bro?
2026-09-27 12:34:29
0
SHEKHE TEMBO :
je kwenye soko la mihogo likoje, maana mimi naona mihogo inauzwa mtaani tuu
2026-09-27 18:03:43
0
ROI BELGE ISSA :
umesahau kwenye madeni mkuu tulikuwa namba 1
2026-09-28 05:07:46
0
imara :
Asante sana Mkuu vp kuhusu ngano na mpunga kwenye takwimu
2026-09-26 18:04:10
1
legendary sachy :
Waziri wa kilomo.. Hapo sasa
2026-09-27 15:35:00
0
mangi :
🫡🫡🫡🫡🫡
2026-09-27 12:43:15
1
To see more videos from user @sospeter_owuor, please go to the Tikwm
homepage.