@habarimpya_tv: Mbunge Thomas Kampala wa jimbo la Katavi hajawahi kuacha kuwapelekea moto Mashoga kwa kuwapinga hadharani na leo kaungana na Mbunge Mwenzake Elibariki Kingu kwa kumchangia Shilingi Milioni moja na Nusu msanii Dudubaya ili akalipe faini aliyotozwa na BASATA kama ishara ya kusapoti harakati za kupinga vitendo vya Ushoga,.

HabarimpyaTv
HabarimpyaTv
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 17:37:46 GMT
203637
12857
286
361

Music

Download

Comments

kpizzokp
K pizzo kp :
tuambieni tu uku mtaani tukiwaona tuwafanye nn
2026-09-26 21:31:05
102
shamsimaarifa
Shamsi Maarifa :
hiyo aliesema taarifa ni nani????
2026-09-26 19:29:48
46
officialphanka
officialphanka :
jamani tunaomba no ya dudu baya
2026-09-26 18:33:19
58
fire0n7
YOU BETTER WATCH YOUR BACK :
halii ni mbayaaaaa
2026-09-26 18:35:04
78
heisjiggah
Jiggah :
maliza kwanza video comment zipo tu
2026-09-27 14:37:43
22
user6007554381238
jabby tz :
takwumu zianzie na mashuleni hali ni mbaya ... piteni shuleni hasa single school
2026-09-26 18:14:54
33
user1527053163440
mpuruti :
sasa taarifa yanin hapo tena
2026-09-26 18:27:15
26
jamesgakutwa146
James Gakutwa :
mbona hamzungumzii ajira watu wanateseka
2026-09-28 08:24:06
5
hamisimwilola
hamisi mwilola :
tuko pungufu jamani tukabie kwa juu
2026-09-26 18:59:01
26
davis.11.duma
Davis 11 Duma :
Safi sana Mbunge watu kama ninyi ndio tunawataka.Nashangaa utaona baadhi ya Wabunge hawaungi mkono sijui imekaaje.
2026-09-26 18:44:30
40
madam.marry63
Madam Marry :
Basi Tanzania yetu ukiongea tu ukweli wanakuua ee Mungu mlinde huyu mbunge aisee mana historia ya Amina chifupa mh
2026-09-26 20:25:48
10
faraja.malwanda
Faraja Malwanda :
mbunge makini sanaaa
2026-09-26 19:11:15
13
natto9706
Kwenye 1 Na 2🚶‍➡️🚶‍➡️ :
Nikweli kabisa tuko pungufu
2026-09-26 18:45:57
12
mbuguni21
Josephine 😘💞💞🙏👨‍👩‍👧 :
haliiii ni mbayaaaaaaaaaa
2026-09-26 19:20:17
10
scarfa079
skipper 🦁 Scarface :
na Zanzibar
2026-09-26 18:42:54
8
lakbaby
Tiffer💕 :
Watoto wapewe elimu mashuleni
2026-09-27 09:04:00
5
omaryramadhan945
omaryramadhan945 :
mnatakiwa muiulize serikali mbona hakuna kiongoz mkuu yoyote anaeongea lolote kuhusu hilo wapo kimyaaa..
2026-09-27 05:16:39
7
saidi.kajanja
Mwanaharakati kajanja :
Tuchange ifike milioni 100 inayobaki apewe Dudubaya ili aboreshe huduma kwa harakati zake😁😁😁
2026-09-26 20:28:33
7
papa.fololodelivery26
Papa Fololo delivery :
Asante sana
2026-09-26 18:08:54
6
gongolisenior
gongolisenior :
very nice
2026-09-26 17:51:36
5
user433943233
John Z :
huyo alitaka kutoa taarifa ipi na ili iweje
2026-09-26 19:21:15
6
user5305860507903
user5305860507903 :
Mwenyezi Mungu. akulinde mh. uendeleze kuchangia hii mada ya taifa cyo dudu baya tu watanzania wote tusimame nae ndio kabeba hii kwa niaba ya watanzania wote.
2026-09-26 18:40:38
6
user2722688797529
Boban Mt tz :
dudu baya anakiwa kuwepo bungeni🙏🙏🙏
2026-09-28 16:34:10
0
tobehone_2050
tobehone_255 :
wasoma comment wenzang tujuane[Confused][Shy][Shy]??
2026-09-27 10:57:59
4
hance10_0
"🍀Hance" 10_💦✨ :
kwan wakaz wa dar wanasemaje😂
2026-09-27 17:08:15
1
To see more videos from user @habarimpya_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About