swali rakaa 2 astagfiru ladhim waatubu ilaih 100 swalatu ibrahimia 100 bismillah l-wahid l -ahadi alladhi lam yalid wa lam yulad walam ya kullahu kufu wan ahad saa 9 mpk al fajir bi idhin llah🙏
2026-09-27 13:25:42
25
abdulwahidmwinyi1 :
shekhe umevaa Kofi Ina msalaba lakn unayoyaongea ni kweli
amiin ya Rabi Na vile tunaamka na kuomba usiku tunastighgar na kuswalia mtume... Kwanzia Leo tutafanya na hii.nakusadikisha hili biidhni llahu.bismillahi wahid Ahad Alladhi lamyalid walamiyulad walamya kullahu kufuan Ahad.Ya Allah najua hii dua ni mzito Sana na najua Allah utanijibu matatizo yangu.sijaisoma nahisi machozi yananitoka Allah nifanyie wepesi Mimi na wenzangu wenye shida na dhiki za kiduniya na za akhera, Allah tusaidie tufanyie wepesi.😭😭🤲🤲🤲🤲
2026-10-24 12:15:36
1
Abdulmalik Haji :
mm nataka uniandikieee kwa kiswahili niuhifadhi
2026-10-06 06:26:13
1
Aminah Khamisi :
InshaAllah
2026-11-16 19:45:22
0
Battuli Faizi :
Allah akuhifadh
2026-11-16 20:10:26
0
To see more videos from user @faidikatv, please go to the Tikwm
homepage.