@babafatmaa360tangatanzan:

baba fatmaa 360 Tanzania 🇹🇿
baba fatmaa 360 Tanzania 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 17:45:24 GMT
86411
2715
400
456

Music

Download

Comments

.ynataly9
Mrs💞msodoki TSHRT store :
kwan mwenye jezi ya Simba ni nani[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-27 10:10:07
1
lucybaby130
L💕🦋 :
next[Innocent][Innocent][Innocent]
2026-09-27 10:38:54
0
joe_charlz
JOE :
We nae piga simu haraka basi, vitu vinaisha ndani unaangalia tuu 😅 Polisi: 112 Kuzuia Uhalifu: 111 Zimamoto na Uokoaji: 114 Takukuru (Rushwa): 113 Gari la Wagonjwa (Ambulansi): 115 Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP): 0699 998 899
2026-09-27 10:36:45
48
zayanaamour
zayanaamour :
part two
2026-09-27 12:04:25
0
almaskilongola
Almas Kilongola :
usiache kitu awafadhiliki ao
2026-09-27 04:29:52
65
tiffan498
Tiffany🦋❤️ :
my gwaaaad
2026-09-27 09:25:35
0
coach.mama3
coach Mama :
wanawake tutafute helaa tuwena utaratibu wakujinunulia vitu wenyewe hata ikitokea umepewa pesa kanunuwe mwenyewe
2026-09-27 04:16:39
63
softchill0404
Soft-chill💫 :
Police police😁😁
2026-09-27 03:56:20
1
dior_phoneshop
dior_phoneshop :
Uyo mwenye jezi ya SIMBA ndo mimi 😂😂
2026-09-27 06:11:57
23
seki.seki.46
Seki seki 46 :
Heeeeeeeee!!!!!
2026-09-27 06:50:14
0
kakatozz
toziii 1 :
mukipita mbalizi mnichukuliage namimi ledio yangu kwa ireni
2026-09-27 05:14:56
34
young_daddy56
Felix :
hii mbinu mpya tuliijadili kkao cha usiku 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-27 10:31:18
12
ally.mabena
Ally Mabena :
hiyo simu nayo tusimuachie😂😂
2026-09-27 03:32:20
9
memesbyjordan
JRDN 𖣂 :
😂😂😂huyo jamaa ake anavyochochea mpka raha
2026-09-27 11:01:31
5
naseeb_f
Dr Naseeb :
napiga sim pppppolisi napiga sim ppolisi😂😂😂
2026-09-27 09:08:17
6
nasra.nn4
khadija abdallah :
mwenzenu sipendi pesa yamwanaume nahat nnapotoka nae sipendi kula vyakula anilipie mpaka hunion mimi jeuri nnazarau sipendi kujishusha kwamwanaume
2026-09-27 08:20:45
14
gerald84772
GR🤟🏿🤟🏿📦 BUSINESS ACCOUNT :
Nacho kubali Wanaume Hatujawahi feri kusapotiiiianaaa😂😂😂
2026-09-27 05:54:08
8
user9038756088734
brightness :
🤣🤣🤣 mm ndomana maisha yakupangiwa nyumba nakununuliwa vitu namwanaume imenishinda nlinunuliwa Samsung 16 bhanawe ilitaka kunitoa roho mkigombana kidogo akupokonya cm.kha
2026-09-27 00:01:18
9
kakatozz
toziii 1 :
ahahahaha ila mwenye jezi ya simba yuko bize na kazi
2026-09-27 05:17:39
14
samwelmkwape
sam money :
mungu amejibu maombi yangu hawana fadhila hao chukua vyote kaka
2026-09-27 05:25:25
8
user2194931961550
lamanyani :
kaka asant kwa kunilipia kisasi changu ata kama demu sio wangu asant mala 100
2026-09-26 21:37:34
19
daxtz7
☆☆☆ :
komba vyote bro awana shukran
2026-09-26 20:47:25
9
safina.hassan6
Safina Hassan :
ila wanawake tunapia mengi
2026-09-27 03:29:26
7
mpenenge
Bashiru Pazi :
Chukua vyote bro hawana shukurani hao
2026-09-26 23:42:20
7
dora.kibale1
Dora Kibale :
aweeee nimecheka ndio mazara ya kununuliwa vitu na mwanaume sihitaji kabisa ukikema huo nibaki na kilicho changu
2026-09-27 00:34:57
8
To see more videos from user @babafatmaa360tangatanzan, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About