pole.sana baba yangu maana alilia mpaka roho iliniuma mm
2026-09-27 06:39:11
5
Bisharo :
Sio kila baba anaweza Lia,kuna wengine ni mahasidi
2026-09-27 06:40:31
6
user693321161544 :
ni kweli kabisa
2026-09-27 07:03:29
4
Bi warda :
kweli kbsa
2026-09-27 05:05:59
3
user1423013430553 :
kweli kabisa 😭
2026-09-27 05:57:14
3
Baby Naah😍🥰 :
nakumbuka baba yangu alilia sana kwa kunitoa siku ya ndoa yangu yeye na kaka yangu mola wape afya njema
2026-09-27 13:27:52
1
mamaummy :
yaani wee acha tu Allah awahifadhi baba zetu ...nasi atupe subra kwenye hizi ndoa
2026-09-27 08:30:35
1
beautiful girl :
kwel😊
2026-09-27 11:25:02
0
juma issa :
huu ndio ukweli
2026-09-27 11:54:07
0
TANZANIA Dar es salaam agent :
nyumba viwanja mashamba yard beach
2026-09-27 11:44:30
0
Msekwa :
Baba yangu alikuwa hivo hivo yaani shekhe kama ulikuwepo na kumuona baba yangu
2026-09-27 12:53:03
0
boss lee :
uhakika☺️☺️☺️
2026-09-27 11:47:43
0
Ukhuty :
Swadakta
2026-09-27 08:10:24
0
Big Manyota :
mi nikifikilia nina watoto wa kike alafu siku ndio namuozesha mwanaume hali ya kuwa najua anachoenda kufanywa na nikikumbuka style nazomuwekaga mama ake hapo ndio inaniumaga [Innocent][Innocent][Innocent]
2026-09-27 12:27:55
0
swaumally638 :
nikikumbuka baba yangu alilia siku tatu hata nikiongea naye hana furah
2026-09-27 12:01:52
0
Dr.K ChiropracticeKe :
wangu alilia sana maskini kama alikua yuajua ntalia milele😭 lala salama babangu mungu akulipe janna ...maana hata mazishi yako haikua ya maana kwake kukuzika 😭 ...Pole sana kukuangusha kwa chaguo langu...alikadiria mungu
2026-09-27 11:55:10
0
mtiifu :
pole mwanangu
2026-09-27 08:52:31
0
shamilla johni :
kweli baba Angu alilia jaman 😭
2026-09-27 13:51:51
0
Ramadan Amour :
nlimuona baba mmoja hakuweza hata kumuozesha kampa mtu jukumu
2026-09-27 11:05:46
0
saifsaify20 :
Kweli
2026-09-27 08:19:13
0
hafidhmuhsin240 :
swadakta
2026-09-27 09:03:10
0
Othman_Y :
kama anaumia kwenye moyo wake si akae nae yeye kama anaona kifua Cha bit yake kiziri huyu shehk vip