ustadhii mm nikiomba dua zangu haizifiki haraka na bado nafanya salatu ala nabii shida inaweza kua nini😭😭
2026-09-26 18:43:38
16
Abdillah hussein :
kwetu iko bahari
2026-09-26 22:32:46
1
safiamuhsin657 :
unione hujibiwi dua ww endelea zinawakti wke ww endelea tu ALLAH atajibu
2026-09-28 05:50:59
5
mohammedhamad8946 :
kuingia kuoga au una maanisha nini
2026-09-26 18:52:21
1
delight 🌱 :
je nikitaka na kuoga baada ya kunywa maana wengine tunapenda kuongelea insfaa
2026-09-26 20:33:39
3
Hafsah Botanic 🌿🔥 :
mm kuna vtu vinanisumbua 😭naskia nyayo na wala sioni Mara naskia mtu yuwaninyonga ,,,usku sipati kulala na amani naskia uchovu asubuhi mpka siezi kuenda kazini na nikienda siuzii 🥺wtu wotee wauza ,,,n sku nikiuza sjui pesa inaenda wapii nimechokaaa kufanya kazi miaka mingi na wala sina hata pesa ya emergency 😭
2026-09-28 17:50:02
1
user6067457166224 :
Inshaallah
2026-09-27 12:33:30
1
Qiyam_Layl🤍🌙🇺🇸 :
wa mikoani tukaoge wap
2026-09-27 04:36:05
1
Nalycious collections :
inatakiwa kunywa na kuoga ama kunywa tu?
mm nimeelewa kunywa maji
2026-09-28 13:22:58
1
24 :
Hakuna ingine njia ingine yakutowa vifungo???
2026-09-27 12:46:08
1
Latty💕🦋 :
Ya mto au ziwa aifai?
2026-09-27 04:56:01
1
dear :
walaikum Salam warmatulah wabarakatu 🙏
2026-09-27 05:20:05
1
layla :
Wa'aleikum Salaam warahmatullah wabarakatuh. Na wenye hatuko karibu na bahari?
2026-09-28 07:20:46
1
zuu :
kufika tu kwenye maji kwangu ni mtihan
2026-09-27 14:38:55
1
Amir sap Amir sap :
subhana llah
2026-09-27 18:57:11
1
mamyabdull :
😩Jamani sijawahipo kuoga baharını lkn jee kma jitaenda kufanya vyote hvo ispokua nitachota hayo maji nichkue nikogeee nyumbani jee?
2026-09-26 21:49:17
1
me :
ustadh huku kwetu hakuna bahari nitumie njia ipi kuna mto huku
2026-09-26 20:25:26
1
Dazai :
Jaazaqa Allah kheir wabaadal kheir jannatiy Firdaus Allah akuzidishie imaan akuondolee vijicho vya walimwengu Allah atakulipa ujarra wako kwa kutuelimisha AmeenAmeenAmeenAmeen AmeenAmeenAmeenAmeen thumma al AmeenAmeenAmeenAmeen 🤲🤲🤲🤲🤲
2026-09-26 19:17:10
1
Tuma 😘 :
Inshallah
2026-09-28 07:51:29
1
Zenith :
mimi kuna watu nawadayi nimesha muswaliya mntume nakusoma Bismillah 786 ila bado sijibiwi nakosea wapi na usiku na amka ku anzia saa tisa usiku
2026-09-29 04:57:22
0
ochu tozzy :
shekh wang assalamualaikum mie bana Mzee wangu anasumbuliwa na tumbo upande wa kushot wa tumbo je nifanyeje
2026-09-28 21:54:18
0
Abdillah hussein :
sas sheikhe niende na kikombe ita bidi nikanywe et
2026-09-26 22:33:30
1
To see more videos from user @abdulhamidnyota, please go to the Tikwm
homepage.