@zctvonedigital: Mbunge wa jimbo la malindi muhsin ussi na Mwakilishi wa Jimbo Hilo i abdulghan ismail zubeir wamesema wananchi ambao nyumba zao zitakuwa salama wataruhusiwa kurejea baada ya hali ya hatari kupita, huku wakisisitiza wananchi kutumia fedha wanazopewa kwa ajili ya kupata makazi salama na kushirikiana na Serikali katika hatua za tahadhari. #tanzaniantiktok🇹🇿 #foryou #viralvideo #viralvideo #foryoupage
Mmefahamu apo hapei Muekezaji ila akipewa muekezeji .......?
2026-09-27 04:43:09
4
The Earth :
eti pesa kuanzia maisha
2026-09-27 11:30:15
1
Lichy6🇨🇦🇹🇿 :
Tena wizi haswa dah
2026-09-27 00:15:46
1
elnabhany :
kwani ni nyumba zao? wanaiekea serikali masharti na kutaka kugoma kuhama kwa usalama wao wenyewe. serikali itawalipa mpaka kodi watu waondoke kwa usalama wao...myumba hawazikarabafi mpqka nyumba zinaanhuka nyengine....wahame tu na wasirudi walilokuwa wanashindwa kukarabati na kuzitunza hizo nyumba
2026-09-27 02:30:03
0
user :
wawekezaji wakutanisheni na wamiliki wa mashamba na majumba lakini sio kwa kuishi
2026-09-27 06:30:55
0
معذى بن العزيز :
HUYU JAMAA MUUNGO, TENA SANA 😳😂😅 ANAMANENO MAZURI ILA ATEKELEZI, LEO KAJA KWENYE KIKAO HIKI, ILA KIKAO CHA KURUDI HAYUPO NA SIMU ZENU HAPOKEI, TUONE KAMA MUTARUDI
(الله يعلم )
2026-09-27 06:02:25
3
user :
kama mnavyowanyanganya mashamba kisingizio uekezaji
2026-09-27 06:29:53
1
The Earth :
hapa umeongea siasa hizi nyumba sio zao bali ni za majenzi na wakfu wakiondoka hawarudi tena hao
mm nahifadhi risiti😁😁😁😳
2026-09-27 11:18:35
0
Lebanon brothers in action :
sasa mbona unajichanganya mara hakuna mara ikotokezea yaaani munafanya watu mambumbu
2026-09-27 06:56:11
0
sashashaom4 :
Yani binaadam nyumba adi inaanguka na unaishi umo ila watu wa mjini muna mambo sana eti hujui kitu kwaiyo hao wanaowataka watu waondoke watu wafanye marekebisho kwa usahama wao wenyewe kazi kunyooshea vidole viongozi ubinaadam kazi wallah
2026-09-27 05:59:44
0
0mar bare :
wiz mtupu
2026-09-26 23:01:02
0
king_Zanzibar :
hapo tayar mwekezaji ameshapatikana hapo anaongea ki siasa tu😂😂😂😂
2026-09-27 12:46:08
0
To see more videos from user @zctvonedigital, please go to the Tikwm
homepage.