nilikua Nathan ndacha ndio kiboko yao kumbe kuna zaidi yake
2026-09-27 11:53:11
45
mm@!???. :
Dini Zote ni the same as long as it doesn't violate the law and human rights.
2026-09-27 09:13:53
9
mgalatia Emmanuel :
nampenda yesu
2026-09-26 19:39:35
64
Archie02 :
Yohana 14:
(John)
6. Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
---------------
Jesus said to him, "I am the way, the truth, and the life. No one comes to the Father except through Me.
2026-09-27 06:13:02
24
upendo :
Yesu ni Mungu
2026-09-27 06:05:54
20
Minister of Inches :
Bwana YESU asifiwe
2026-09-27 06:39:27
27
MWINJILISTI TEMBA :
Hallelujah
2026-10-07 14:55:11
0
Saad Hatibu :
Mim hiv vyote havinisaidiii maana wote wanasoma history za mizimu ya kiarabu na wazungu
2026-09-27 16:34:45
11
@pretty mercy🕊️🕊️ :
i can't explain how I love this🥰😂, wakristo wenzangu bwana yesu asifiwe 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-27 17:11:38
7
MickywillsEleganceEmpire :
╔════༺†༻✝️༺†༻════╗
🕊 JESUS CHRIST IS KING 🕊
╚════༺†༻✝️༺†༻════╝
2026-09-27 18:42:08
8
brodiebanks_ :
📖 1 Petro 4:16
“Lakini ikiwa kwa sababu ni Mkristo, asione haya, bali amtukuze Mungu katika jina hilo.” ✝️
2026-09-29 21:54:39
10
thom miusic sound :
dini ya kweli ni upendo tu mengine yote ni utapeli
2026-09-27 10:53:50
9
mr Light :
yesu ni wangu milele daima mwalimu mungu akubariki sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-29 09:20:35
7
anu :
Una. uruhu. kenyata n
2026-09-26 21:01:28
1
jay my G :
YESU NI MUNGU
2026-09-27 13:01:19
8
Layla :
bwana yesu asifiwe
2026-09-27 09:16:04
7
archi006 :
yesu ni mwana wa mungu amen 🙏
2026-09-27 11:52:08
7
Emmanuel munuo :
Ukristo milele
2026-09-27 05:57:21
10
breezy :
yesu nimungu kwasababu 1.anasamehe dhambi
2. anaabudiwa
2026-09-27 13:42:45
6
cindu yeezy🇰🇲 :
mnagomban kupitia dini hlf walioleta dini wanagombn kimaendeleo ya nchi zao
2026-09-27 15:30:23
7
Moïse :
utukufu kwa bwana Mungu wetu
2026-09-27 03:51:27
7
Douglas Gikenyi :
hiyo kitabu Nani mwandinzi na mwaka gani?
2026-09-26 21:42:04
6
To see more videos from user @emen.apotrejacquesmihigo, please go to the Tikwm
homepage.