@bellamy_gong: #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokzanzibar #bellamygong #kataaunene #kibonge

G O N G
G O N G
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 18:57:40 GMT
41183
1575
221
1027

Music

Download

Comments

sniper3d66
Mr Balad :
Dahh nilijua upo kaburini
2026-09-27 18:53:32
60
raksul0
raksul0 :
Ahhhhhhh
2026-09-27 20:37:51
0
luley.abdi55
💞lulu msomali💝 :
tusameni tuu😂
2026-09-27 22:55:17
0
atustephen3
atu❤️ :
We nae Eb tok hp
2026-09-27 22:31:00
0
cher3y_0
ASMA HONEY🌸🦋 :
Umechelewa ushuziii ushajambwaaa[Tears of joy]
2026-09-27 14:28:11
12
sheila_kidala
Sheila :
nimepungua sasaiv navaa medium mwanzo nikua small
2026-09-27 21:47:35
2
fatmaameir906
fat mother 💕 :
nashkuru hata nikiwa kibonge nipo vizuri urefu unanibeba🤣
2026-09-27 15:56:44
19
15fred_fx
Professor :
yani nataka kupungua ila ni matesoooo jmn uwii
2026-09-27 20:37:58
4
tumaqueen55
Tumaqueen :
yan kosa hilo nshafanya ila huyu nilie nae ana kaz ya kuniambia ukipunguw nakuachaa jamn nachoka mm😂
2026-09-27 12:03:16
21
minnie76117
Minnie🌺 :
Jamn mbn Nina mpango wa kunenepa 😂
2026-09-27 20:59:11
4
y_yy001
🩵 :
Nd nshafanya mie weee
2026-09-26 21:55:31
7
manka1617
Lost 🥹heart💔 :
nani kasema sina raha jmn😂😂😂😂 niko leleleeeeeee
2026-09-27 17:50:40
1
user54683186745237
Pretty_Meenah :
is being fat a crime???
2026-09-27 21:13:32
0
unstoppable_positive
Nova luxe :
mbona umechelewa sasa kuniambia
2026-09-27 16:29:24
2
qalbi64001
🌙🤍 Qalbi قلبي 🤍🌙 :
umechlewa😥
2026-09-27 22:08:37
0
iam_fatima24
iam_Fatima❤️🧕 :
Haya nipe Tips za Diet nipungue
2026-09-27 16:51:07
0
1_brillian
brilliant✨️ :
nishakua na nina raha
2026-09-27 18:37:56
0
officialreeny6
🦋Reeny🦋🌸 :
Woiiii najipasukia zang hapa jmn msiwe mnasema mitandaon tunajisikia vibaya jmn
2026-09-27 17:18:05
0
cwtgal7
Sunshine🌞 :
We naniii kua na adab na Vibonge 😂😂💔
2026-09-27 20:15:17
1
baido.khan5
baido khan :
oya kweli
2026-09-27 13:18:14
2
minaah225
💕 :
😂😂😂kweli ubonge hapana
2026-09-27 16:16:00
0
patty957
Patrisha💗 :
Umeongea kwa uchungu 😂 nimependa ulivomaliza hapo Nimemaliza 😂🙌🏾 me hilo kosa sitaki kulirudia tena maan nilikuwa big 🙌🏾
2026-09-27 18:58:18
2
niulize_mimi
OM :
Kila siku njitahidi niwe bonge, sijawah kufika hata 60kg
2026-09-27 13:34:07
1
jamilajamaly96
jammy🌸🌸🌸❤️Bella :
kweli kabisaa kakaaaaaaaa🥺🥺🥺
2026-09-27 23:21:57
0
marcellino1608
Marcellino. :
Mimi nilikua natamani kua kinonge, kumbe Bora hv nilivyo ndio vizuuri 😁😁😆
2026-09-28 00:15:54
0
To see more videos from user @bellamy_gong, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About