Man u hao wameon hawana uwezo wa kuchukua kombe kwa nguvu zao sasa ndio maan wakaon bora wafanye hvo wapate kombe la kugaiwa๐๐๐๐
2026-09-26 22:50:21
1
tripple_x_07 :
kwan hawa wanatoa wap hizi source za habari maana hata sisi tunawajua kina David na fabrizio lakin hatujaona vitu anavyoongea huyu jamaa
2026-09-26 21:46:14
0
๐๐ ฐ๐ ต๐ ธ๐ บ๐ ธ๐ฐ๐ช :
trophies zinashindwa uwanjani ila sio kortini ๐
2026-09-26 23:09:20
3
#DMS :
Sis kama Tottenham tupo mbele kuwasweka rumpango hatutaki useng
2026-09-26 20:53:15
4
รdรบ Br :
Ndio kila mtu arudi club yake๐๐
2026-09-26 21:27:50
4
anuar๐๐ฟ๐_๐ฆ :
Kama hawatutaki waseme tu na sio malalamiko...hata kama tukifukuzwa premier league hamna kitu kitabadilika coz cha kwanza hakutakuwa na Manchester derby tena na kwa hali hii sisi tunavumilia tu๐๐
2026-09-26 20:52:22
2
Erick junior :
Binadam tumeumbwa hivyo mimi fan wa Chelsea na Barcelona, hata wew ukiinuka watu watakushambulia,ila andika pahali Man city ya pep ipo imala
2026-09-26 21:09:56
1
To see more videos from user @creez_favors_, please go to the Tikwm
homepage.