Jamani let’s normalize getting a divorce tu jmn mtu uendelee na maisha yako sio killing your partner 🙂
2026-09-26 19:12:16
114
asha turkey 🇹🇷 :
mimi nikigundua mume anachepuka naomba talaka
2026-09-26 19:30:06
31
Nicole❤️🦋 :
Mmmmh hii dunia hakuna wa kumuamini🙌
2026-09-26 19:11:46
116
butterfly 🦋 :
hii story inafanana kwambaaali na ya kina Damla😂
2026-09-27 00:36:22
49
Dr gee😍 :
Tuhadithie na Ile ya Haiti kipenzi 🥰
2026-09-26 23:12:21
36
Da zuu👄❤ :
samahani naomba unitumie video ya yule dada aliyechinjwa video zake zinazosambaa mtandaoni
2026-09-29 09:31:28
3
Jesus_cousin😇 :
Hola mambo vipi watu fell mko poa mi niko safi kabisa 🥰🥰
2026-09-26 19:15:30
61
beiby munira❤️ :
cheating adi kwa wazung😅, kumbe issue nalea watto simpend mke wangu adi kwa waazungu😳😂
2026-09-26 20:11:14
11
@Mrs Arsenal 💞💦 :
Holla staki umbea leo.
2026-09-27 14:13:41
8
walagamchopanga :
hi dada iv ww izi stor unazitoaga wap maana kila sku n mpya
2026-09-26 20:27:23
5
Nana Cute 🥰🥰 :
Leo wa kwanz 🥰🥰🥰
2026-09-26 19:06:26
18
MAMA SAM❤️🥰 :
Nashindwa kuwelewa
2026-09-26 19:35:16
9
Halima kimdori 🍀🌹 :
Nasubiri story ya dada alokatwa mapanga mana sielewi Alifanya nini
2026-09-28 06:26:20
8
Debora🇹🇿🇱🇹 :
@Debora🇹🇿🇱🇹:Nimegundua ukizulumu nafsi ya mtu, hata kwa muda gani itajulikana tu.. Mungu atuepushe Na watu wa hovyo🥹. Ila nikwambie hata iweje usiache kifo cha mtu kuwe ndiy furaha yako🥹
2026-09-26 19:12:35
11
Ms.Nana🦋🦋 :
Ifike tu mdaa swala la ku peana talaka liwe simple tuu tutaishaaa jmn
2026-09-27 05:15:51
5
Lisa cuty9 :
Chuki ni nyingi tumuombe Mungu tu
2026-09-26 20:06:47
6
irene009❤️🦋 :
jaman naomba uzungumzie story ya yule dada aliekatwa mapangaa maana nimeshindwa kumalizia video inaumiza jaman sijajua kosa lake ni nini mpka akafanyiwa unyama kiasi gani
2026-09-26 21:29:52
5
ESPERANZA 🍓 :
Men’s 😫
2026-09-26 19:39:35
6
🌸CHERRY 🌸 :
Nasubil unielezee wew kuus nice B kill na baby love mana nisha chok kusubil
2026-09-29 22:35:13
1
🦋Nathie🌺🫧🌸 :
Murat na Damla😂
2026-09-27 23:48:24
4
Idda🌹 :
Tuletee story ya baby love aliekatwa mapanga plz
2026-09-29 06:24:37
1
MICHAEL G7tech Mobilefrp :
hi tabia hata mimi ninayo
2026-09-27 14:56:42
1
Lady C🌹❤️ :
Msituue jamanii
2026-09-27 18:05:46
3
To see more videos from user @muu.saleh, please go to the Tikwm
homepage.