@afroseky:

SINGOMAZA
SINGOMAZA
Open In TikTok:
Region: OM
Saturday 26 September 2026 19:25:58 GMT
98357
5183
532
152

Music

Download

Comments

merry.oman.shaghal
Merry @Oman shaghala🫂🫂 :
Namshkru Mungu Nina miaka 4 account inasoma 0[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-27 09:36:05
1
rahma.nino379
Rahma Binti Gessa 🥰😊 :
mwaka na miez 6 account haisomi nachoka mie [Tears of joy]
2026-09-27 10:41:08
0
shaysaly22
SalyM0m♋️ :
me hata sisemi na December nahome jmn[Tears of joy]
2026-09-27 11:22:36
1
user5537182663663
Rayhana :
mbon mm sio hivy jaman niko seriously 😂😂 nawek front kweny account kila mwez mbon
2026-09-28 04:35:46
1
khaneefanadeem
Hanipha🩷🩷 :
nina miezi 6 Sina ata shinkumi😂
2026-09-27 01:59:46
190
michou.uwilana
Michou Uwilana :
ukifikisha tarehe za kulipwa shida zinazidi pesa sijui ni kwangu pekeangu
2026-09-27 03:14:59
70
marywalinah
Marywalinah :
mm nimemaliza contract na saving ya three months😂😂😂
2026-09-27 12:56:00
0
alinda0051
alinda :
tunajisahau sana nin miezi 8 nimetunza million 2 tyu ni uzuni🥺🥺
2026-09-27 06:42:52
58
shafia.ali97
shaa :
😂😂Mm nimebakiza miz 6 n sin Mia Kwan huwa zina enda wp
2026-09-27 03:15:38
36
nasmagn
Nasma Gn :
ten aje fast kuadisiwa hainog[Tears of joy]
2026-09-27 04:36:29
0
rukiasaidi5
Talq momy 123🇹🇿 :
nina mwaka narobo sina ata ya kiwanja kijijn kwetu🤣🤣
2026-09-27 09:22:44
7
subira.leonady
@subira mharabu :
Asante mngu sipo kama mwanzo
2026-09-27 02:37:26
12
wetuw.ndambwe
Wetuw Ndambwe :
nimebakisha miez 6 na sijaanza ataujenz na sina ata rial 1 kwenye akaunt
2026-09-27 03:00:01
9
jjj11618
Jjj :
leo nimekaaa nikawaza hivi kunamwingine yupo kama Mimi au nimimi tu hii omani yote kakaa mwaka mzima na Hana hata mia 🥺🥺🥺🥺
2026-09-27 04:36:37
17
loveness3039
LOVENESS❤️🇴🇲 :
😁😁😁 🙌 mm ata siongei ngoja nikae nikipokea wagen niwaone watatokaj😂😂😂😂
2026-09-27 07:19:22
1
mamyussuph
𝓼𝓽𝓻𝓪𝔀𝓫𝓮𝓻𝓻𝔂 🍓 :
nilifanya la maana kununua kiwanja nina miaka 2 na miez 4 sina zaidi ya hicho kiwanja nataka kurudi nawaza ntafanyaje na hizi rial100 zangu😹😹😹
2026-09-27 09:45:39
12
official_monah5
official_monah💗🦋 :
Mm naomba niunganishe huko kufany kazi
2026-09-28 06:33:52
0
gracious81872
Gracious :
nimebakisha mie6 sina hata mia ila kabla sijaha nilisema kama huyo😩
2026-09-28 06:09:33
1
asteria.paul
MY ANGEL🌹🦋 :
😂😂😂😂
2026-09-27 06:44:47
1
lelah2450
lelah :
😂😂😂😂😂😂Nina mwaka nina rial 50 ni majonziii tunajisahau sana mm chama sikioni naona napoteza mda tu
2026-09-27 07:47:30
3
mamamshua
baby girl 💗 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hata ni malengo ya kila ukiwa tz ukifika huku ndiyo utajua
2026-09-27 10:12:03
1
tulahalex
Tulah Alex :
uko kunanifaa mimi ambae sina wa kunitegemea ni mimi na tumbo langu🤣🤣
2026-09-28 11:40:54
1
mssfatema685
Rhoda faustini :
😂😂😂😂😂😂nimejicheka
2026-09-27 05:14:57
0
miriyam236
Miriyam :
Nina mwaka na miezi 20 Sina akaunti iko na laki mbili tu
2026-09-27 15:14:51
1
msaysha770
Ms Aysha 👩‍🎤 :
Kuna bajaji ya milioni 5 na amsemi 😁😁
2026-09-27 04:17:33
3
To see more videos from user @afroseky, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About