@salmasaid_znzyetu: Mtumwa Khamis Juma Mkaazi wa Kunguni Dangoni Kisiwnai Pemba amewashukuru wawakilishi kwenda kuwasikiliza maoni yao akidai kuwa kuna wawekezaji ambao wanawatesa wananchi jambo ambalo limekuwa ni kero kubwa la wananchi wa eneo hilo.
usijala mama yatu mpendwa tumesikia malalamiko yako tutakajakufanya uchunguzi lilakitu kitaka sawa
2026-09-27 04:29:45
3
sashuuofficial :
serekali musijifanye vipofu
2026-09-27 06:44:55
4
user13897213169528 :
maskin Allah awasaidie Ishaallah
2026-09-27 05:05:54
1
ovnyvlnzbuq :
naona mapema watu ndagoni na bado
2026-09-27 03:37:35
2
nawwar sultwaan :
innaa lillahi wa inaaa ilayhi raajiuun ivi kweli serikali yetu kauli mbiuyake mweshmiwa alisema mtu mmoja TU akidhulumiwa ni makosa Leo dhulma hii inaendawapi???.alafu ndo mnaona uumgwaana kweli kuwatoa mamazetu Hali kama hiiuekezaji ndo ana thamani kuliko mzawa?? kweli jmn ss ni wazanzibari kweli au hiki kisiwa tumetupwa TU sio kwetu ivi serikali yetu mnafeli wapi mnazani ndonawapa imani Gani watu na ccm yao.kweli jmn hii halki
2026-09-27 11:40:21
1
user7916052005224 :
hawana huruma na wapemba
2026-09-28 10:56:09
1
❤️🩹Qalb ṭayyib ❤️ :
kilaa sku wanyonge wna onewa kwa sabbu gan😭😭😭😭😭😭
2026-09-27 07:36:39
1
mtiifu :
changamkeni kama ss watu wa wambaa
2026-09-27 18:57:59
0
mrs kidoti :
naomba mawasiliano na uyo mama
2026-09-27 11:40:04
2
Sadrick haji*🪶* :
Af mseme pemba haiendelei wawekezaji wakiwekeza mnawatimua😂😂😂
2026-09-27 09:29:32
2
Ummy Fatty :
dah!
2026-09-27 02:29:07
2
hamad :
mama hongera mungu awafanyie wepesi
2026-09-27 11:27:28
1
mama lao :
🥰🥰🥰mama hongera
2026-09-27 16:02:21
1
shangazi :
Dada anaongea mashalah nimempenda
2026-09-27 10:00:44
1
nawwar sultwaan :
75 ndo kweli yakujisifu mbele ya serikali halafu hamuoni haya???
2026-09-27 11:41:03
0
muhsin wahida hussein :
😁😁😁😁😁 wazee wetu wazungu walita maharamia siku hizi wanaitwa wawekezaji
2026-09-27 08:26:38
1
user13897213169528 :
2026-09-27 05:06:43
1
sadri 🥰🥰 :
vibaya hivo
2026-09-26 20:28:36
2
Awesi Ally Mkubwa :
Hii lafudhi nai miss sana
2026-09-27 07:57:24
1
SHAAB🏝️GANGSTER :
natamani ni comment kt ila bd mm n mdogo san sij timiz malengo yang naogopa kupotezw buree il wazanzibar kwa ss tunayo pitia ni mtihan mkubwa san kusem ukwel Allah lione hil waja wako tunayo pitia
2026-09-27 06:37:03
1
didah :
sasa wamekwenda kuwachezea wa pemba ? wapemba mie nawapenda sana hawajali kitu na wana misimamo. juzi wamekwenda kuwachezea wa bumbwini vilio hivi havimuachi mtu salama waekezaji serekali inawapa Jeuri
2026-09-27 08:51:28
1
Kassim Rashid Mohammed :
poleni saana
2026-09-28 05:34:37
0
To see more videos from user @salmasaid_znzyetu, please go to the Tikwm
homepage.