@safisha_mazingira: #zanzibar🇹🇿 #mombasatiktokers #safishamazingira

3z ukumbusho tv
3z ukumbusho tv
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 26 September 2026 19:42:36 GMT
14792
951
154
64

Music

Download

Comments

ahmednur87
ahmednur87 :
masalafi ni 100% wako sawa alhamdulillah
2026-09-27 06:58:28
29
asadullah.274
ASAD 🇰🇪 :
Prophet never call himself sunni, salafy, wahabi ,we just need to follow sunnah and call ourselves Muslims that’s enough
2026-09-27 05:54:55
9
pablo.jnr37
pablo Jnr :
dini ni uislamu sio salafy
2026-09-27 02:04:22
7
athmanbabusa
Athman Babusa :
Ni vitu gani vinakufanya usiwakubali 100%?
2026-09-27 00:54:11
16
ibrah.wa.d.mswax
ابُو سَمِير :
sasa me nlikuwa mkristo nimeslim na nimegundua salasafy nikweli wanatetea haki nasasa mimi najinasbisha nao hata kama me bado mchanga wanipokee hivo hivo
2026-09-27 05:56:35
11
haruya_adam
haruuh🔥Gusa umeme🔥🔥 :
kwhy neno salafi n nn na we sio salafi ? nashindwa kuelewa
2026-09-27 04:39:42
2
mpili.kassim42
Mpili Kassim :
Umekwisha kaka
2026-09-27 12:32:44
1
abumahbub3
Ustadh J. :
jinasibishe nao bro
2026-09-27 11:34:04
0
said_mahmoud5_86
Bin Mahmoud :
bro Leo umenitatiza 😳😳😳😳
2026-09-27 05:38:09
0
user6558320488744
Abdul :
waambie ukweli
2026-09-27 07:31:12
0
sarbanti_
' :
hiyo nimekata kaka
2026-09-26 20:08:35
1
alfaqeer092
Alfaqeer :
Twaoma mumwambie Dilele amjibu Shekh Iswamuddin
2026-09-28 07:55:39
0
binkassim_
binkassim :
mafundisho yenye kibri,ria, kujifagharisha na mengne meng
2026-09-27 07:53:41
0
abuuhibatullah
Abuu Hibatullaah :
hii iko wazi kabisa
2026-09-27 10:36:02
0
asadabdul39
asadabdul39 :
sio asilimia 85% ni 100%
2026-09-26 21:27:03
12
i.am.muslim668
Manhaj Salafi :
MASHAALLAH Manhaj Salafi
2026-09-27 05:52:05
6
anod.khan
Arnold khan :
salafiya ni ni waislam wanaoishi kupitia mwenendo wa wema walotangulia (maswahaba)
2026-09-27 13:40:51
3
a1muwah1d
محمد :
انا سلفي
2026-09-27 05:30:40
1
dhurqarnine
ابو عزير :
Salafiyya sio kikundi ni uislamu wenyewe
2026-09-27 07:58:24
3
shemainvestimenttn
SHEMA INVESTMENT TN :
Huo ndo Ukweli usio semwa na wengi
2026-09-27 10:31:22
3
bakarimbiru670
Abuu Harmal :
Mimi ni salafi lakini pia nakubaliana na wewe kwamba masheikh wetu wengi ni wakali sana.. Na ni wakali kwa sababu hawataki mchezo ktk dini japo wapunguze ukali...kwa sababu mtume hakuwa mkali sana kwa watu...
2026-09-29 08:46:29
1
ku.ra.za.sh
Ku Ra Za Sh :
mh hamnakitu
2026-09-29 17:30:16
1
user4940544868130
abuu abduli wahabi issa :
sasa nduguyangu kama ushatambua hilo siunganenao katima haq nduguyangu
2026-09-27 03:29:15
2
user4971354358275
user4971354358275 :
Kaka kwanini haujinasibishi na hao watu??
2026-09-26 22:55:39
1
harunahamistamsan
haruna :
je mtume muhammad s.w. aliacha dini yenye madhehebu gani? naye alikuwa na dheheb gani?
2026-09-27 13:09:16
0
To see more videos from user @safisha_mazingira, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About