@coolnews24hrs: Dogo na brother wake wamerudi tena na hii kali kinoma! 🙌 Unawapa asilimia ngapi HAPA? #tiktokindia #tiktoktanzania #fyp #viral #indiansong
Huu wimbo una maanisha kvDfhzhnzxbzfjsmvveudeyxznvxczujccxkhgkc,cn,jljcok,xxhlcgoljzhVjhkjhXVJKJGPO CXDIHZFMVCHGSYGUKHC BHICCJIOK Ndio ilivyokuwa
2026-09-28 07:36:21
2
@leey69🥰🦋🦋🐞 :
Iii nyimbo yaan inamaanisha ivi gygkbbvvnnccghbb. Huffing kokkihhhbbbbbbbnnkokkjjyyyyyuiopppogvvbjjnbjjnnnnnnnjhbvvbbbbbvvvvbbhhhbyggeeess
2026-09-29 04:59:27
1
Ramsey :
Napenda apo aliposema Yani kula mlo mmoja kwa siku kawaida huo wimbo unahuzunisha sana😔😔
2026-09-27 11:23:23
65
Adamz_Ug 🇺🇬 :
this song talks about Agriculture 😎.... the government needs to support agriculture sector 💯😎.
2026-09-28 22:56:41
7
DIFO KE 🇰🇪 :
i dont understand but i think is love song [Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Tears of joy] i feel it
2026-09-28 18:44:26
1
MAFIOSO_iSTORE :
Huu wimbo Una mafunzo meng sana
2026-09-27 20:23:56
16
Geka warrior :
Dah huu wimbo umenifanya nimkumbuke marehemu mamaake na bibiangu 🤣🤣🤣
2026-09-27 11:11:26
28
venocyber :
hata mm yalinikuta mdogo angu ni machungu 😳
2026-09-28 07:59:19
5
lovezz :
sing in english
2026-09-28 19:18:44
1
Calvin calvo 2124 :
we love you bahubali
2026-09-29 07:29:38
1
Xiǎo kě’ài :
daa huu wimbo unahuzunisha sana☺️😌😁😁😁
2026-09-27 05:16:10
19
DEEKHAM :
huzuni irene wangu angeelewa huu wimbo asingeniacha anasema kwamba hatma ya binadamu aijuaye Mungu hakuna aijuaye kesho kidogo nachpata pokea kesho itakua bora zaidi usinikimbie maana mamaako angekimbia daddy ako ata ww usingejulikana...... my self nawasihi wadada wavumilien wapenzi wenu maaana kesho ni fumbo na hakuna mwanaume hapend mtunza mpenz wake maisha tu bado hayako sawa kwet😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-28 02:51:03
15
👑Ɏ.฿ØɆ👑 :
HII NYIMBO IMENILIZA SANAA 😥😭😭
2026-09-29 17:39:59
2
minly lady :
name of song
2026-09-27 10:29:02
5
viir khan :
amazing
2026-09-28 23:43:37
1
MUSSA MAKANGE :
2026-09-29 10:22:57
2
🥦MADALA 🥇BALE🆔 :
Ninepapenda hapo Kwan wewe juju I Kama tutaenda china duuu pamenikosha
2026-09-28 21:06:11
3
man fongo :
watu wa singeli mpo wap
2026-09-28 20:19:54
3
Alphonce Duga :
Hii nyimbo inagusa vitu vyangu kabisa ,, inanihuzunisha pia,,
2026-09-27 07:51:19
5
Young Mason :
sawa ila mmi sijaipenda 💔😂
2026-09-29 07:13:13
1
Rehma Omary :
nikisikia ivi nakumbuka nilivo pitia nikiwa na mama wakombo
2026-09-28 06:57:57
3
Emile :
Lakini ya kwanza ndo kali sana ilompeleka mjini.
2026-09-29 10:38:37
2
shehe omar :
hii nyimbo juzi nilimsikia mke wangu anaiimba.mbona kamzidi huyo dogo🤣🤣🤣
2026-09-29 17:58:55
1
Alpha-Zulu :
kilimo banaa,mi adi nalia huku😂😂🤣
2026-09-29 09:53:30
1
Mrs Nurdin♥️💍🔐 :
Wanajua bhanaa
2026-09-28 17:18:37
1
To see more videos from user @coolnews24hrs, please go to the Tikwm
homepage.