@mnyasamedia41: VIDEO KAMILI YOUTUBE MNYASA MEDIA📺 🙏 #SimbaVsYanga #LibasseGueye #ibrahimdoumbia #Clatouschama #tanzaniantiktok🇹🇿

Mnyasa Media
Mnyasa Media
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 20:04:10 GMT
25290
900
41
58

Music

Download

Comments

neemavennace
ney 🦋♥️ :
sasa kma imekamilika unasubir nni kuhama timu
2026-09-27 09:32:42
0
neya2426
neya2426 :
Sauti yako inapelekea yanga tufungwe
2026-09-27 05:29:55
1
alfredsamwel7
Alfred samwel mungunda :
umeongea point tupu ndo maana yanga kimataifa anachemka
2026-09-27 10:50:45
0
mwanaharusi.mtend
mwanaharusi mtenda :
usema kweli ni mpezi wamungu
2026-09-27 06:25:13
1
frankkanik12
kanik :
simba ni timu nzuri kama bado aijacheza na yanga
2026-09-27 15:43:27
0
user5827507133625
user5827507133625 :
wewe ni simba akuna mtu wa yanga kama wewe
2026-09-26 20:22:49
0
paulkihaga
pohh kihaga :
we ni mungu
2026-09-27 13:20:05
0
a753890
a :
nikweli kabisa kaka
2026-09-27 09:45:48
0
dikonone007
Dikonone007 :
ungana nao
2026-09-27 12:35:34
0
emmanuel.william20
Emmanuel William :
2026-09-27 11:56:07
0
salehenikodem
🔞SAREHE JR 🔥🎤🇹🇿 :
mpaka mutasema vizuri
2026-09-27 07:53:46
0
ally.takbir
shombe madini💎 :
Ukwer mtupu kaka
2026-09-26 22:12:41
1
heri.minemba
HERI MINEMBA@ :
2026-09-27 08:27:54
0
user1290553373962
peter anania mwasile :
vipi mechi ya ufunguzi ilikuaje imesahu hao shuti la kulenga goli dakika ya 87
2026-09-27 14:12:26
0
pily.rameck
💛💚pily🖤💛🌻 :
naiamini timu yangu san jamani 💛🖤🙏
2026-09-27 04:13:58
0
officiallight50
kifukwe :
Hata ngao walisema hivo na wakagawa utam
2026-09-27 10:13:35
0
paul775298
paul775 :
sikweli apo me sijaamini we nae unaupande wako 2
2026-09-27 11:10:18
0
user53698327140161
mary :
kweli simba wako vizulu sana kqasasaivi namimi nimeona sasaivi yanga niwavivu sana kwa sasaivi
2026-09-27 12:08:41
0
bekamande4
beka mande :
hii ni kitimotoo ya wapii
2026-09-26 20:48:27
0
mgishajumanne
Mgisha jumanne :
Tukifungwa nikama tumeshinda na tukishinda nikama tumeshinda ndosisi hao Wana wairan jeshi lawatu wachache
2026-09-27 12:56:27
1
user846888000
Measiam2 :
msimu huu pointi 6 huna
2026-09-27 11:56:39
1
user2969385518005
user2969385518005 :
yanga wanashinda mechi hiyo inshaallaah aminaaa
2026-09-27 15:05:06
0
abdallahabdul3
abdallahabdul3 :
Bado hujasema mamaeee
2026-09-27 14:46:42
0
waziriambrose
King Shetemba👑👑 :
baadae ya kushiba ugali wa maharage
2026-09-27 13:21:11
0
user846888000
Measiam2 :
POINT 6 HUNA
2026-09-27 11:56:21
1
To see more videos from user @mnyasamedia41, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About