@finance_talk6: AU NIFANYAJE

Hussein and Finance
Hussein and Finance
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 21:22:33 GMT
37719
352
40
154

Music

Download

Comments

delphina7423
delphina mshauri :
mbona kama umeniibia salary slip yangu🤣😅🤣🤣 na Bado sioni Cha maana nilichokifanya kwa mikopo hii yaani tangu nianze kazi sijawahi kuchukua take home ya lakini Tano yaaani mpaka naogopa nahisi nimerogwa
2026-09-27 17:42:48
2
user4084567284619
user4084567284619 :
alafu mimi napata 2.5 bado naona haitoshi
2026-09-27 14:00:03
2
fubu95
fubu95 :
oooh mwalimu wangu, pole😭😭
2026-09-27 09:15:23
0
big_tz1
BiG_Tz :
salary slip ya uongo hii kivipi uchukue 13M kwa makato ya 27517!!?
2026-09-27 10:43:58
2
jonas.maganya
Jonas Maganya :
Nataka kujua mshahara mkubwa wa mwalimu wa degree ni kia's gani ? mbona naona mamilioni zaidi kwa ualimu kweli?
2026-09-27 11:39:21
1
jose.ph231
Joseph :
hii ni editing D 1 ni 7.7?? kada Gani hii ualimu au
2026-09-27 15:19:07
0
inkwale8
inkwale :
jiongeze bro
2026-09-27 18:05:16
0
traore.photoshoot
📸 :
nani kaileta salary slip yangu huku😭
2026-09-27 16:15:22
0
mohammedjaffari48
Mohammed Jaffari :
wasomi hi
2026-09-27 16:53:20
0
tegemeoo
tegemeo :
ila🥺🙌
2026-09-27 18:13:00
0
peter_kapele_wa_2
Peter :
khaaaa 😁
2026-09-27 17:14:14
0
sam.mallya3
Giantpoultryfarming :
hao Access Bank huo mkopo wao watakata miaka mingapi uishe ndgu?
2026-09-27 17:43:38
0
user66330623266775
Amanwilson :
editing Hii D1 ni zaid ya 8
2026-09-27 16:59:48
0
robbyson_04
Robbyson :
duuuuu
2026-09-27 15:35:53
0
batholomeomagesa
BATHMAGES🤕🤕🤕 :
huy mwalimu
2026-09-27 14:51:47
0
mumyg54
Mumy G :
mbona bado unarudi vizuri home teacher?
2026-09-27 17:25:16
0
dr.ab3d.tz
Dr.ab3d :
hela nyingi sana hii😂😂
2026-09-27 13:41:24
0
malume0596
malume 0596 :
au biashara na kazi na mimi twende biasharani
2026-09-27 11:01:44
0
livingstonetuma
🗽livingstonetuma🦺🪖 :
Mamae unajitaka ujitakii[Tears of joy]
2026-09-27 18:27:22
0
sam.mallya3
Giantpoultryfarming :
hii ya kuedit wakuu. TGTS D1 Kwa basic salary hyo sio kweli. labda sio Tanzani ni Congo au Uganda. hata mpangilio wa hayo Makati sio Sawa
2026-09-27 17:41:12
0
saint_kendrick_
Kendrick :
shukuru huna Loan board
2026-09-27 16:53:14
0
olehatuma
Ole-Hatuma :
hii mikopo yote kama hajawa tajiri basi hatoboi tenaa!
2026-09-27 13:42:00
1
mylifestillmylife
My Life Still My Life :
YBWYB 🐊 24
2026-09-27 10:58:08
0
electricalartisan1
Electrical Artisan 🦒🦒 :
Watu tunakopa lakin wewe Hapana Shikamo 🙊🙊🙊🙊
2026-09-27 15:33:00
0
lifeofmapunda
🔗 :
una mkopo 49M acha kulia kulia bn mbona safi kabisa h
2026-09-27 10:24:39
0
To see more videos from user @finance_talk6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About