@littlekindakenya: Part 6 | Kufukia Kaburi 😭🤲 Mayuts wakifukia kaburi la Otema - Kariakoo Muslim Cemetery Mikono kwa mikono, udongo kwa udongo - Feruz Atita aka Otema anaagwa na mtaa wake Little Kinda na uniform bado, Uncle Shatar mbele - kila jembe la udongo ni dua Hii ndio wakati mgumu zaidi - sauti ya udongo ukigonga mbao 💔 كُلُّ نَفْسٍ ذَائِقَةُ الْمَوْتِ Kila nafsi itaonja mauti Tumemleta Otema, tumemlaza, sasa tunamfunika kwa udongo - amali zake ndio rafiki yake sasa Dua yenu ndugu zetu: Allahumma thabbit-hu indal mas'ala #KufukiaKaburi #Otema #Kariakoo #FeruzAtita #InnaLillahi