@mrndosihomefurniture: KITCHEN CABINET YA KISASA 🤍✨ Muonekano safi, nafasi ya kutosha na mpangilio unaorahisisha matumizi ya jikoni yako. 🍳 Jiko upande wa kushoto 🗄️ Kabati za juu na chini ✨ Design ya kisasa 📦 Nafasi nzuri ya kuhifadhi vyombo na vifaa vya jikoni 💯 Material imara na finishing safi ☎️ 0692099324 💰 Bei: 480,000/= 📍 Ubungo, Dar es Salaam 🚚 Free delivery ndani ya Dar es Salaam 💵 Malipo baada ya kupokea mzigo wako Agiza sasa, tupe nafasi tukupangie jiko lako kwa muonekano unaotaka. #MrNdosiHomeFurniture #KitchenCabinet #KitchenDesign #FurnitureTanzania #DarEsSalaam