@adventist.friends: “10 Lo lote mkono wako utakalolipata kulifanya, ulifanye kwa nguvu zako; kwa kuwa hamna kazi, wala shauri, wala maarifa, wala hekima, huko kuzimu uendako wewe.11 Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote.”
@Adventist Friends
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 01:18:13 GMT
Music
Download
Comments
gtz :
Mhubiri.....hiki kitabu ukikisoma kimejaa majibu ya mambo mengi tunayhangaikia sana dunian
2026-09-27 09:44:19
2
Bingwa Batibomba Tz Ltd :
Amen
2026-09-27 04:35:48
0
baraka.sda :
🚶➡️🙏
2026-09-27 05:32:07
0
To see more videos from user @adventist.friends, please go to the Tikwm
homepage.