@jamiivoice_: HABARI: Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Idara ya Oganaizesheni, Paul Chacha, amesema vyombo vya dola na viongozi wa serikali ni mali ya CCM, akidai kuwa chama hicho ndicho kilichowaweka katika nafasi hizo. Chacha ameyasema hayo katika mkutano maalumu wa CCM Mkoa wa Iringa, uliojadili maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa CCM na Jumuiya zake mwaka 2027, pamoja na maandalizi ya maadhimisho ya miaka 50 ya chama hicho.

Jamii Voice
Jamii Voice
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 04:13:56 GMT
4278
102
22
9

Music

Download

Comments

salum.kimu
Salum Kimu :
Hakika Allah ni fundi!
2026-09-27 05:34:54
0
suimlozi
sports :
heeeee mbona hiii mpya
2026-09-27 06:34:38
0
naomi.mondoka
Naomi mondoka :
kidumu chama cha mapinduzi. Kidumu chama tawala
2026-09-27 06:59:19
1
user4107610819756
[email protected] :
safi sana mkuu sema ukweli wajue wanaitaka kukomboa
2026-09-27 06:24:51
1
im_nyeusi
Black🖤 :
Sawa
2026-09-27 05:36:35
0
user5159699618011
Palulizo palu :
ndio maana hatuviamini vyombo vyenu vya dola
2026-09-27 05:13:08
1
greysonthobiasmka
G mnyalu :
daaah hizi kauli jamani
2026-09-27 05:33:35
0
robson22368
Robson :
sasa hivyo vyombo nani atafipenda
2026-09-27 05:26:08
0
user5090566708795
steve :
duh
2026-09-27 07:44:02
0
makoye2753
Makoye :
ni ukweli mtupu sema watanzania tutabishi kwa hisia ila huo ndo ukweli
2026-09-27 09:27:52
0
mathayothomas5
mathayo thomas :
Hii kali sasa
2026-09-27 06:55:47
0
user5497092758507
sammy :
chama tawala ndokinaunda serikali kuanzia police hadi jeshi nachadema ikishika nchi nayo itashika dola
2026-09-27 09:30:09
0
mtanganyikq647
kamujomba tz :
tutafika kaka si munatuhua
2026-09-27 07:10:09
0
mbagamzirai
Mbaga mzirqi :
mbona wanao shangilia awaonekani
2026-09-27 06:34:14
0
user52226211839437
Otieno :
kumbe ndiomaana????
2026-09-27 05:00:08
0
fundi.raphaelbukuku
fundi Raphael bukuku :
mh Niko sait
2026-09-27 05:01:19
0
barakaaal656
barakaa :
😁😁😁 kweli kabisa huo ndoo ukweli na ndoomaana mkuu wa usalama hana maamuzi mkuu wa majeshi hana maamuzi police wanaweza kuamuwa chochot kwa wanannji
2026-09-27 06:46:32
0
suimlozi
sports :
kumbe majeshi ni ya ccm
2026-09-27 06:34:58
0
user6530948287508
polya :
kama vyonbo vyote ni Mali ya chama uchaguzi mnafanyaga wann?
2026-09-27 10:09:10
0
yohanamkomola71
One joe :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-27 04:27:34
0
To see more videos from user @jamiivoice_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About