@amani.m.hassan.shah: mwamba wetu shekh waleed ibn ustadh alhad omari allah amuhifadh akifanya mazoez mwene asili yake aachi asilie pia amuachi nyuma mwanae raha sana ❤❤

Amani ibn shekh matokeo
Amani ibn shekh matokeo
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 04:14:37 GMT
13426
604
47
62

Music

Download

Comments

faza__jr
Faza Jr :
Allah atuhifadhie Sheikh wetu inshallah 🙏
2026-09-27 16:18:37
4
haidery.suwed
Haidery Suwed :
Rusmah Ndossi
2026-09-28 07:21:49
1
ibn.sheikh.kirobo
Ibn Sheikh Kirobo :
mwamba Kwel Kwel Huyo
2026-09-27 09:13:12
3
user94358328718220
Temba Atkah@hafsah :
Islamic ina hitaji mtu Imara..Alhamdulilah
2026-09-28 04:59:38
2
shabobomwinyi
Shabobo Mwinyi :
wallah kila ck ntakuombea dua ya kheri daima
2026-09-28 07:07:40
3
unstoppablehusler01
UNSTOPPABLE HUSTLER 😎🇹🇿🇦🇪 :
aha ahaaaa 🤣 ila sheikh walid bana
2026-09-28 08:57:00
1
yunusabeid6
yunus :
mashaallah
2026-09-27 19:08:15
1
user9488881345601
user9488881345601 :
Maa sha Allah
2026-09-28 08:22:25
1
user3247861438358
bilali hamisi :
mashallah 🥰🥰
2026-09-28 07:27:34
1
samhat12
Samhat :
aamiin
2026-09-27 19:03:55
2
abdul.mtabak
Abdul mtabak :
masha allah
2026-09-28 05:37:51
1
hassansherman331
Hassan Umar :
Nakukubali kakaangu na Sheikh wangu, rafiki ya wengi 💯 Unatukumbusha SUNNAH AL HAYAAT kwa vitwndo. BarakaLlaah feek Sheikh Waleed
2026-09-28 06:23:36
2
user5518852179241
Abuu Gwelo :
leo ndo nimeuona amevaa surury mashaala
2026-09-28 12:01:50
1
sheibaly005
شعيب 005 :
mashallaah zoezi muhimu bana ustadh wangu mungu akuweke ili tuzid faidika nawewe
2026-09-27 19:37:30
2
zainabu.asumani6
Zainabu Asumani :
Mashaallah shekh wetu
2026-09-28 04:31:29
1
majid.issa4
Majid Issa :
Tunajua tukifanya mazoezi tutakufa bali tuna ondoa uzembe walidi kipenzi cha allah na kupenda kwa ajili ya allah
2026-09-28 11:00:47
1
princeomar417
عمر الفاروق :
mwanazuoni huyu
2026-09-27 18:48:40
1
le.mal.ncessaire63
le Mal nécessaire :
2026-09-28 04:49:31
1
mohammedshk1
mohammedshk64 :
shekh wa mfano wakuigwa
2026-09-27 19:11:16
1
user7224750271361
قاسم علي⚜️ :
Mashallah mwamba
2026-09-27 19:41:31
1
abusmaz6
Abusmaz :
ukifanya mazowezi pia utakufa😂😂😂twakupenda sheikh wetu Mola akuhifadhi akutunze in Shaa Allah akupe swiha njema
2026-09-28 14:05:22
0
hanceshabani
hanceshabani :
Maa shaa Allah
2026-09-28 18:22:46
0
kisesacolection
kisesa00 :
Mashallah
2026-09-28 19:11:21
0
super.tall72
Msoba jr :
Leo nimeamini Shekhe kumbe ni Simba-Mnyama kabisa
2026-09-28 15:00:58
0
abdulmanaphy
abdulmanaphy :
2026-09-27 16:14:07
1
To see more videos from user @amani.m.hassan.shah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About