Kupewa vitu bila kuomba nayo ni nyota babe yani hata uwe kama malaika 😂
2026-09-27 08:49:17
61
Jackline M :
I am suprised na comment nyingi,zinadhani naongelea mahusiano ya kimapenzi…Sikiliza mpaka mwsho na uelewe…TENGENEZA MAHUSIANO YAKO NA YESU..Kabla hujaanza kumuomba AKUBARIKI…🤦🏼♀️🤦🏼♀️
2026-09-27 12:48:25
13
rexha♥️🔐🦋 :
exactly 💯 bebe
2026-09-27 09:49:06
0
Jackline :
Lol nilikua naanza kuandika gazeti nikasikia Jesus nikafuta
2026-09-27 10:48:22
6
brandmotion a.i :
now apply that to God
2026-09-27 21:10:47
0
Miss lee :
me sipendi mtu anifanye ombaomba kwake 😂😂 level yangu ya kiburi hairuhusu
2026-09-27 14:13:57
7
Eddy@eddy :
beautiful
2026-09-27 11:47:48
0
innocent :
good subject
2026-09-27 07:04:29
1
DJGabyevent :
DADA UMEO GEA HEKIMA SANA ....SUBIRI WASIO NAKAZI WATAKAVYOKUSHAMBULIA