Huyo ni kakakuona na hiyo ishara ya kukaa kwny hilo benchi inamaana kwamba huu mwaka ni wa kukaa tu na kupumzika na sio kujishughulisha na kazi zozote kama kilimo hata mvua zinyeshe vp Ahsanteni 🙌🏿
2026-09-27 13:38:33
1210
rujaina wa donyo :
daah tunaoangalia sa4 usku atuja oga tunaogopa nnje like apa🤣🤣
2026-09-27 19:26:15
170
TOTO🍏 :
kaka kuona aoniii[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-27 18:28:59
1
Fatuma Mohamed :
Huu ni mwaka wa baraka zitanyesha mvua za baraka na kila mtu atakuwa salama tutapata mavuno maana Mungu anakwenda kubariki sababu nina mjua Mungu hutuwazia mema daima🙏🙏
2026-09-28 04:51:58
93
Mayachris12 :
Hizii Imani bhana sasa mbona mimi napishana nao kila siku na najua hadi wanapoishi
2026-09-27 11:12:31
374
rahmamuhamedi615 :
amenanisha tutakosa chakula mpaka tutakula mbao
2026-09-27 16:18:58
355
Mirza William :
kaka kuona ndo maana yake nini guys
2026-09-27 17:03:09
31
MamyDarling🗽 :
khaa! ana angaika jaman au ndio tutahangaika ivi🤣
2026-09-28 05:18:23
6
Nchoji Mining Gold :
tafasiri ya huyu kiumbe ninzuri sana mana hawa viumbe wameonekana kwa wingi mwaka huu nao ni ishara moja yakupanda juu tuna rudi kwenye point huu mwaka unamafanikio makubwa ila mana kila mtu anavutia liziki kwake ili afanikiwe ko watu msihofu wakulima limeni kwa iman ya mavuno mazuri wachimba dhahabu tukomae dhahabu itapanda thaman ko Mungu ni mwema wakati wote Mungu anaokowa🫡
2026-09-27 19:54:15
57
CHORO 👑 :
mvua ya mwaka huu tutakimbilia juu ya miti ama paa za nyumba ndivyo alivyo maanisha
2026-09-27 15:03:00
205
Lucas :
Ila hiiii ichi ukisoma comment za ma Genz 😂😂😂😂😂
2026-09-28 06:05:22
3
Clara Bliss & Bloom Co :
This comments😂😂😂😂🙌🏽
2026-09-28 06:32:04
0
Cathy💙🦋 :
Tunaoangalia saa sita ucku njoo tulike apa❤️
2026-09-27 21:27:27
13
Hamad Madvd :
Apo anamaanisha tusiokua na kazi tutakalia sana benchi Asanteni
2026-09-27 20:45:32
11
Mk Professor8 :
Hizii Imani bhana sasa mbona mimi napishana nao kila siku na najua hadi wanapoishi
2026-09-27 19:32:17
8
Braxtonmike🇰🇪🇰🇪 :
what's that now
2026-09-28 04:49:53
0
Iness mnyaturu 🙆😘 :
linanitisha jmn [Snicker][Snicker][Embarrassed]
2026-09-28 03:59:41
0
Linda256 🇹🇿🇺🇬 :
For us who married Baganda that's the clan of our kids 😂😂it's called Lugave in Luganda my children's clan👌🥰🥰
2026-09-28 04:41:37
0
nusi :
Kwaiyo tutakaa tu 😳ndani jamani michezo itatuua😁
2026-09-27 16:49:24
36
nyomolelo :
sio kaka anaitwa ngaka kuona
2026-09-27 16:08:57
7
Joyce Masawe :
Anae fahamu icho ni kitu gan aniamby jmn🥰
2026-09-27 12:07:13
133
I am Gee😇❤️#glory :
ni mwaka wa neema Mungu atusaidie
2026-09-27 16:35:29
27
🌹 🦋 Miss ~AI🌸 🦋 :
Apo ana maanisha kutatokea mvua kubwa hadi baadhi ya watu watapanda juu ya mapaa yao kwa kunusuru maisha yao asanteni