shida connection make watu wanaenda uko bila vipimo vya afya kwaio mazoez yale kama huna afya njema lazma usitoboe
2026-09-27 06:14:49
67
Hemedy Hussein :
brother hii taarifa sio rasmi huyo sio BMS wala nin huyu ni intake 44 na juzi tu kamaliza kozi ya level 3 wala hakuwa masomoni heb tumuache ndugu yetu apate kumpuzika tupunguze kumuongeleaongeolea huku mitandaoni
2026-09-27 10:39:23
28
ON3 MAN ON3 ARMY :
rip eliza
2026-09-27 07:56:46
10
eddy_tx :
Inshort p staffs hawapend kuona fom six wakiwaongoza na wakt wao ndo wanaowafua wakiwa kuruti yan dah hawatak kutawaliwa na maafisa wadogo
2026-09-27 18:33:03
6
Min me👌🏼🎶 :
Shida ni connection hawapimwi vipimo lakin kwavile wanawatu wakaribu wanawasaidia
2026-09-28 12:04:23
5
Bint Rita🙏 :
huyu kafariki kwa Ajali...
toa taarifa sahihi🙏😭😭💔
2026-10-01 11:05:20
1
CHAPILE BRAND KUBWA :
kwani wastani ni miaka mingapi kufa mwanajeshi
2026-09-27 18:19:57
5
njaa kali sana :
wafe2
2026-09-28 04:28:33
0
Hashim Abdallah :
wanarogwa
2026-09-27 13:11:21
5
Mtanzania🇹🇿🇹🇿 :
Jaman msitoe taarifa msizozijua jmn kah
2026-09-27 07:51:40
11
Real Facts💯 :
kujipata kunaleta vita kubwa kutoka kwa ndugu,jamaa na marafiki
2026-09-28 23:03:07
2
its..ummy1 :
Uyo amekufa kwa ajar jmn emb usitudanhany hp
2026-09-27 08:27:16
9
Raiser Bl :
No research no right to speak, ajar zme kua zikichukua vijana wengi san, wengi ni ajar sio maradhi tuzidi kuomba na kuombeana kwa Mwenyezi Mungu🙏
2026-09-27 17:11:46
1
cute vee backup :
jmn si alipata ajali huyu wakat anaenda kukata tiket anavyrud kikosin🥺 akapigwa na gar akiwa kwa pik pik
2026-09-27 12:42:36
3
Simai Juma :
Mipango tu ya Mungu coz hata angalikua uraiani angalikufa. so what to do, Salisanaaaaa
2026-10-04 13:49:12
1
TIMO :
kaka kufa ni wakati unakua umefika tu
2026-10-01 16:49:10
4
Eagle🦅 :
sio jwtz ni wote jamanii polc Magereza uhamiaji tanapa jamanii wanakufaaa eeee mwenyenzi mungu tupunguzie hii adhabu imekuwa kali mnooooo
2026-09-27 07:39:27
5
Dady Soldiers :
ahadi yake imefika
2026-09-27 09:04:21
4
husna garden na super gro🌿🥀 :
acheni kutisha watu kila mmoja anaondoka na ahadi yake mungu ndio ameandika ivyo mnaogopesha wengine
2026-09-27 12:49:42
4
mudy mumbu :
hata polisi wanakufa wadogo kuliko wazee
2026-09-28 06:13:36
1
KΔRΔBØI † :
Inaumizaa 🥹🥹
2026-09-27 09:13:25
0
HARAO MEDIA :
Hakika Allah(s.w)hahairishi nafsi ya mja pindi itakapofika muda wake.
kila nafsi itaonja umauti.
kifo hakina ahadi na mtu ni muda tu ukifika tutarudi kwa Mungu.
2026-09-27 18:22:53
2
Sherry :
kifo ni cha kwetu sote tumeumbiwa kwaiy ata musijaji sana
2026-09-27 13:23:31
1
🌸Mom Nasreen🌸 :
Tatizo jeshi uchawi mwingi jmn kiukweli hata mm nina dada yangu anapigwa vita kubwa sana yaana kama sio mkwewe mbona dada yangu sas hvi ni marehemu nyie mm mpaka nawaz na nakaribia kwenda huko aiseee nawaz mpk nawaz tena
2026-09-27 09:38:34
4
£fex!💥 eck!..tz👋 :
apan mozoezi magumu
2026-09-27 16:26:53
1
To see more videos from user @vin___lubs30, please go to the Tikwm
homepage.