umeonga negative tu .ila posstive ya kuish dar hujaongea 😂😂
2026-09-27 13:41:03
3
John Tula :
Kwa nini huyu mh. asipewe Ofisi kubwa kuliko hii aliyopo
2026-09-27 08:11:18
4
macha one :
bc mi dar nahama
2026-09-27 17:35:03
1
pearl jumaaa :
hatutak mkoan
2026-09-27 10:54:59
3
Diego :
HATUHAMIIIIII
2026-09-27 16:54:15
1
Aludo Makori :
mi mwenyewe Dar nimeishi miaka mingi lkn sipapendi ni kwa sababu ya ndoa
2026-09-27 16:02:55
1
peri bog :
kweli baba maisha nipopote,,,,
2026-09-27 16:35:26
1
KDB_worldwide :
Hata mseme nini, Dar sihami
2026-09-27 10:04:44
1
VEDA STORE🥼✅️ DAR ES SALAAM :
Narudia tena Dar sihami labda ihame yenyew🤣🙌
2026-09-27 14:42:14
1
Venance :
Mzee wa Busara
2026-09-27 16:25:25
1
Ngolo Wame :
mikoani tuna raha sana
2026-09-27 12:21:58
1
Ney cbn :
nakuelewaga sana mkuu
2026-09-27 16:06:58
0
The Don Complex :
Nimeishi Sana vijijini saiv huniambii kitu, Kijijini ntarudi nikizeeka.
Sahz nisambili usiku kume nyamazaaaa watu washa lalaa.
2026-09-27 17:55:10
0
Mika :
Ila wew mheshimiwa pamoja na yule wa Iringa huwa mna madini sana nawaelewa saf kabisa
2026-09-27 16:45:14
1
Kwenye One and two :
Mkuu, kitu kimoja unasahau maisha sio function ya viazi wala foleni tuu, ni variables nyingi ambazo zote kwa ujumla mtu anapima kuona ziko correlated na maisha yake kivip. Unajua mtu ukiwa na uwezo flan unakua na tendency ya kuamini kila mtu yuko kama ww.
2026-09-27 15:56:25
1
peri bog :
kwani upo wp baba mbona nimekuelewa,
2026-09-27 16:36:13
1
dauson :
sasa sii mpak uwe na mtaji au ni maeneo
2026-09-27 12:31:36
1
MSUKUMA :
Hata mmemeje jaman sihami
2026-09-27 12:33:18
1
vms motor :
sijaelewa point Yako bro
2026-09-27 15:13:05
1
Bahati Ryoba👨🏫 :
Dar sihami
2026-09-27 18:14:11
0
Maumau march Mwana wa adamu :
watu wakihama dar nan atabak ss
2026-09-27 13:45:35
0
Baraka mwasipaja :
kweli kabisa
2026-09-27 13:30:42
0
eddy mutashobya :
Upo sawa ata mm umenijenga kitu
2026-09-27 08:33:06
1
To see more videos from user @madiniplus_, please go to the Tikwm
homepage.