haijalish story hatakama ni yauwongo lakin inamafunzo makubwa sanaa yani
2026-09-28 16:55:25
7
nedrathafines :
polee sanaaa kipnz
2026-09-29 00:55:22
2
neyra354 :
Pole Ila nmetokea kukupenda🥰
2026-10-01 23:03:12
3
twin❣❣ :
naisikiliza naumia sana kmavile n mimi. pole sana dada
2026-09-28 09:55:14
4
user8410231047159 :
dada alnakuelewa sana hik kitu kilimkuta mdg wangu nyie binadam hawana huruma jmn mmhh marafiki achen ty mdg wang mwenyew n marafiki zake ndowalimfanyia hvy alikuwa kama kichaa kabsaaaa yan mmh stak ata kukumbuka
2026-10-07 10:39:20
4
michaelraphael089 :
kitu gan alitaka akufanyie
2026-10-08 12:37:11
1
joycedaniel629 :
pole sana kipenzi hatupaswi kumwamini mtu aisee
2026-09-28 05:15:35
4
am :
Namshukuru Mungu,,sinaga rafiki zaidi ya wanangu tu
2026-09-27 08:53:34
1
broken heart💔⚓️ :
pole san kuna watu magaidi sana
2026-10-07 05:55:36
1
ROMUALD CONSTRUCTION :
kwa msaada wa mama maria alikusimamia dada yangu
2026-10-08 03:47:55
1
adivntina :
pole
2026-10-09 12:12:20
0
BIG SIS 💕 :
du hii dunia asee, pole Mama MUNGU akusaidie kusamehe
2026-09-28 19:49:18
0
pricess teclas❤️❤️💯 :
pole san marafik xio wakuwaamini
2026-10-09 13:26:20
0
Only good vibes! :
pole sana Domi. Mungu amekutendea mema. kuzima masaa 9 nawaza tu wangekufanyaje hao maharamia?
2026-10-06 16:59:38
1
@mamalaima5 :
part4
2026-09-28 09:50:26
0
Samne singratory 4 🙏 :
Pole
2026-10-01 16:29:09
1
black cute 🥰 :
pole san🥹🥹🥹
2026-10-07 11:39:55
0
❤️👩🏼 :
Mungu anakupenda sana
2026-10-09 08:12:26
3
tonso :
dada pole sana mungu acheni aitwe mungu
2026-10-10 12:17:02
0
Joy enock :
Pole mwaya
2026-10-07 15:39:46
0
Marry Patrick :
Pole sana kipenzi naumia sana marafiki tusiwaaami [Crying]
2026-10-07 19:26:05
0
Chichi 255 :
mpk naogopa jmn uwii
2026-10-07 15:53:46
0
asryan cute 🥰🥰🥰 :
pol san dad yang
2026-10-03 23:47:46
0
To see more videos from user @masaivoice0, please go to the Tikwm
homepage.