kaka nimepack vitz yangu ya old, Inamiss mbaya then brek inakuwa jiwe.
nimebadilisha Brek booster 3 nimebadilisha plag, pamp ya mafuta tumesafisha hiyo Throttle body lakini wapi.
Nimetoboka sana kaka
afu ukiipaki muda mrefu inatulia ila ukitembelaa kidogo Tatizo palepale
2026-09-27 11:49:41
1
Sir LUKUMAY. :
mko wapi wazee maana Gari langu la ALLION engine Ndogo inashida ya Silent mje kunisafishia Pia
2026-09-28 13:24:05
1
william :
namba tupe,mpowapi
2026-09-28 18:36:04
1
JustMeMuisyo :
mpo wapi.? nipo Moshi nahitaji huduma hii
2026-09-27 16:35:08
1
fredi nsunza :
location
2026-09-27 13:30:57
0
Sammy Samson :
Mnapatikana wap
2026-09-27 13:23:32
0
Sir LUKUMAY. :
Aiseee nije Lini Maana Gari Lina Tatizo pia ya Kupiga Kelele fulani watu wanasa Oil haipandi Vixuri sasa wanasema tusafishe hicho
2026-09-28 13:25:58
0
safi Sports :
Na hapo hamna uhakika na mnachofanya🤣🤣
2026-09-28 12:45:14
0
Dr Jerome (obgyn specialist) :
kama toyota mtu anaifanya ivi bmw je😂 , hawa ndo.wale wanasemaga toyota ngumu
2026-10-02 02:04:50
1
hashcatXO :
Kaka unafanya outcall service? @Eli automotive
2026-09-27 08:38:50
1
To see more videos from user @eliautofix, please go to the Tikwm
homepage.