@uhondo.tv: 📌 VIDEO YA KUMBUKIZI | 11 APRILI 2023 Mbunge wa Makete, Festo Sanga, aliwahi kukemea vikali vitendo vya mapenzi ya jinsia moja, akisema kuwa iwapo Bunge, Serikali pamoja na viongozi wa dini watashindwa kukemea vitendo hivyo, si ajabu miaka 30 hadi 40 ijayo nusu ya Bunge kuwa na mashoga. 🎥 Tazama video hii ya kumbukizi na usikilize kauli ya Festo Sanga aliyotoa wakati huo. Je, una maoni gani kuhusu kauli hiyo?
Uhondo TV
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 07:08:24 GMT
Music
Download
Comments
Baba G :
shehe umeongea points
2026-09-27 10:40:22
0
Cugalivinus Archard :
Taarifa nzuri kuliko zote 2026✌
2026-09-27 10:41:09
3
matabaspace :
kumbe sometimes ccm wanaongea point
2026-09-27 08:03:36
3
patiedo 17 :
shekhe sasa ww mitano TENA.
2026-09-27 09:57:33
4
RICH....COLLECTION :
uyo aliomba tarifa nime mkubali
2026-09-27 08:12:58
5
BABA UBAYA👽👽 :
mimi ndo huyo mtoa taarifa
2026-09-27 08:18:44
7
|Son ⭕️f Man| :
TAARIFA ya moto kuliko hoja.
2026-09-27 10:14:14
3
meza makona :
leo bunge limeunguluma kama
2026-09-27 12:06:05
1
MUUZA SIMU DODOMA :
Kwa mara ya kwanza nimeskia taarifa ya maana kabisa💪💪💪💪
2026-09-27 09:09:11
2
JAFARI BABAYU :
dudubaya mungu akulinde bro utalipwa ulicho kipigania kwa watz
2026-09-27 10:29:36
0
Tito Mwandika :
imengu uliye mbinguni 😭😭😭😭 nakuomba awa wabunge uwatunze mungu wangu 😭😭😭
2026-09-27 08:01:44
1
Santana TG😈 :
Hali ni mbaya😂
2026-09-27 12:42:38
0
ambusde :
tuna taka wa2 kama hawa
2026-09-27 07:56:19
1
EzekieL Chawiko :
sasa ilo ndo bunge tunalo litaka
2026-09-27 12:51:13
0
MAHELA PHONE STORE💰📱☎️ :
Ukimsikisikia neno “taarifa” wakati mtu mwingine anazungumza huwa sipendi.Ila leo aaah Nimeikubali Taarifa.Naunga mkono Hoja[Power][Power]🤝🤝
2026-09-27 12:31:39
0
mzambuliisabyby :
hili bunge la leo nila kufanya maludio tena
2026-09-27 12:32:56
0
Iq@ :
Akika
2026-09-27 12:01:40
0
taus :
asanteee baba
2026-09-27 08:03:28
0
user9995720246571 :
30 mingi saana
2026-09-27 09:12:29
0
astrida antony :
Tulinde migongo yetu, TUACHE TAMAA
2026-09-27 11:15:26
0
Nomad son :
taarifa ya kwanza nzuri bungen kwa ccm
2026-09-27 13:03:03
0
master :
sema baba
2026-09-27 12:13:20
0
zena Ramadhani 8@gmail com :
ukweliiii
2026-09-27 11:38:37
0
rashidirashidi608 Myao OG :
Big taarifa
2026-09-27 11:41:25
0
Robiee 🌹 ❤️ :
Asanteeh shekhe
2026-09-27 11:52:00
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.