@ccmzanzibar: *NDG. ABDI AWASILI MKOA WA MAGHARIBI KUENDELEA NA ZIARA YA KUKAGUA UHAI WA CCM* Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Ndugu Abdi Mahamoud Abdi, amewasili katika Afisi ya CCM Mkoa wa Magharibi kuendelea na ziara yake ya kukagua uhai wa Chama cha Mapinduzi (CCM) pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili wanachama wa chama hicho. Ndugu Abdi anafanya ziara hiyo katika Jimbo la Mwera, ambapo anatarajiwa kutembelea majimbo nane katika Mkoa wa Magharibi, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha uhai wa chama na kufuatilia shughuli mbalimbali zinazotekelezwa katika maeneo hayo. Katika ziara hiyo, Ndugu Abdi pia atatembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na shughuli zinazolenga kuchangia maendeleo ya wananchi na ujenzi wa taifa. 📆: 27 Septemba, 2026 📍: Mwera, Zanzibar #fyppppp #fypppppppppppppppシ゚viral #virlvideo #viralrëëls #ccmtanzania @abdimahmoud @ccmtanzania @uvccm_tz

CCM Zanzibar
CCM Zanzibar
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 07:15:06 GMT
6657
265
6
7

Music

Download

Comments

user541321926326muyu
muyu baby :
hakiki chm che2 kina viongoz br ccm oyeeeee
2026-09-27 17:55:30
0
amoobby2
Bby Amoo% :
penda xnaaa Naibu🥰🥰🥰🥰
2026-09-27 10:46:33
0
mr_nice_guy_tz
H_brown_Empire_Tz 🇹🇿 :
CCM ni kubwa Katibu nae ni bingwa big up sana na kila la kheir kwenye majukumu yako
2026-09-27 11:54:12
1
style.furniture6
Style furniture 🪟🚪🪑🛋️ :
jembe hil
2026-09-27 15:41:50
0
ibraah_code_27
Ibraah code27 :
ccm ina vijana imara na wkaka mavu .
2026-09-27 12:01:14
0
mr.lax619
Mr.Lax :
😁😁😁
2026-09-27 15:40:25
0
To see more videos from user @ccmzanzibar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About