hii sio content kuna watu wanapitia haya maisha๐ฅบtuwaombee
2026-09-27 08:41:29
72
prince__polite_๐ :
Assalama alaykum brother naihitaji sana hii iwe movie natamn sn niiweke home Wagoner brother plz toa hii movie ipandishe YouTube
2026-09-27 11:36:37
2
MainaMilk :
Marriage is a beautiful thing when you avoid it ๐คฃ๐คฃ
2026-09-27 08:48:55
14
Mrs Mfinanga :
Ndoa inahitaji uvumilivu sana Allah awape subra wenye ndoa wote๐ฅฐ๐ฅฐ
2026-09-27 10:36:39
11
Quite.anima๐ :
Hii nayo nimelia๐ญ๐ญ๐ญ
2026-09-27 08:15:22
33
.Bichachi the queen :
ahudhbillai!!!! wacha
2026-09-27 08:51:48
1
dhahabu ๐ซโ :
๐ญ๐ญwalah hii nishapitia Mimi siwez sahau napika chakula vzr namtengea anasema kwan nilikwambia nataka Kula sina njaa mbona unanishobokea Sana wewe๐ฅnilijitaidi wiki2 ni ivyo ivyo ndan tunalala vyumba tofauti atusalimiani๐ฅjaman๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
2026-09-27 07:24:21
35
jynee๐ :
kua toxic haikufai jay๐ฅบ
2026-09-27 08:21:22
8
๐นMiss Leen๐ซฆ๐ฆ๐ค :
Nataman hii angecheza Nurah tuone ataombaje Dara hapa
2026-09-27 09:11:00
14
King Azizi :
kipi Bora
upitie haya? au ukae nyumbani tu bila ndoa?
2026-09-27 08:48:01
21
shambiibrahim :
wkawnzaa leo bro ni tag Evey episode
2026-09-27 07:19:17
9
Leylaโจ๏ธโจ๏ธ :
huyu sio j tunaemjua sisi๐ฅน
2026-09-27 07:21:00
9
Bianca Lopez :
Mungu nipunguzie hasira kabla hujanipa mume๐๐๐๐๐ilo kofi ningemlazia na hiyo tray ya chakula๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐