hapo kwa kuzungumza na mfuu jameni.sometime I can dream having fun with my late mom laughing and making story
may she rest in peace
2026-09-30 07:31:47
0
sinaby :
sheria master
2026-09-30 13:53:50
0
@...khallar 🍁❤️ :
mie jaman nilishamaliza kusoma zaman sana saiv Nina maisha yangu lakin nikilala naota nipo shule nasoma nawaota had wanafunzi wezangu ambao nilikuwa nasoma nao sijui hizo ndoto zinamaanisha nini
2026-09-27 14:31:34
5
🦋Maris🦋 :
M huota mam yang amekuja kwenye ndot na tayar alikufa zaman sana na hua haongei ni mim namuongelsha na yeye hanijibu ana smile tu
2026-09-30 08:47:34
3
Catherine Francis :
me nimeota kila ninakopitia nakutana na nyoka wadogo wadogo nikabadili njia nyingine nikakutana tena na nyoka mdogo akaning'ata ..., pia nimeota leo nalia ila mpenzi wangu hajali , naomba maana ya hizo ndoto please 🙏😭
2026-09-30 11:12:21
1
Joseph Nangai :
naomba nisaidie mana ya ndoto hixi mara nyingi naxiota na xinajirudia
.nimetoa nimekutana na simba nikajificha mara nikamuona ndg yangu anapita apo nikamkimbilia nikamxuia axipite simba akaniona akasimama akawa anakuja skukimbia
.nyingne namuota Sana mtot wangu mana yupo mbali na mie tulitengana na mchumba angu
.nyingne naota nimerudi xhule nasoma
naomba nisaidie mana xa hixo ndoto
2026-09-28 17:42:14
1
dougy kush KE 🇰🇪 :
mm niliota naongea na watoto wenye siwajui
2026-10-01 13:31:53
0
NEEMA PETR :
sqmahan mm nilimpoteza mama sku ya kunizaa so simjuw na yeye hanijuw lakin picha yake ninayo alafu huwa ninamwota akinijia tunapiga na stor ananifarji pia inamanisha nn
2026-09-27 16:50:12
1
Ms B❤️🦋 :
mimi kuna mda namuwaza nilierithi Jna lake na inatokea tuu celew kwann kuna wakat had nalia sana Nawaz kwann yn km ananijia na mm cmjui yan cjawah kumuona alkufa miaka hyo
2026-09-28 20:40:20
1
beautifulltz :
ukiota baba kafa je inamaanisha nn
2026-10-01 08:56:19
0
Mamake Ann Joy :
mimi niliota nikipiwa na mamangu eti niko na mimba na inje but haikutoka na mimi si msichana am married
2026-10-01 16:29:59
0
maryam omary :
Mimi baba yangu amefariki Lakini naota bado yupo hai na naongea nae yani haipiti wiki bila ya kumuota hii inamaana gani
2026-09-28 17:45:00
1
Soni annabel :
niliota nikifanya harusi hila sikuona sura ya mwanaume alinivalisha Pete hila still single
2026-10-01 14:59:45
0
🦋it'z may~cee🦋 :
mimi kama sina pesa huaga naota babangu ananipea pesa usinguzini na alikufa kitambo plzz nisaidie meaning yake
2026-10-01 10:31:28
0
alonjeminus :
nisaidiye mm nimemaliza lasaba mwaka 2010 sasa naotasana nimeludi dalasani nasomatena nafanya namitiyani inajiludiyasana
2026-09-30 20:49:13
0
Sherya Nassoro :
nimeota me na mume wangu tumerudi kwenye nyumba ya kupanga ambayo tumehama na mume wangu tumeamia kwenye kibanda chetu lakini nimeota tumerudi na kigodolo tuh cha kulalia
2026-09-29 21:06:46
0
Kim dori🇶🇦🇹🇿 :
Nimeota baba yangu ameludi Ila amefaliki miaka 10 nalia namwambia pole baba sasaiv kwandani tu watu wasikuone Watakuwa Tena yeye nacheka tu Ana wasiwasi sijui maan yake nn
2026-09-30 06:48:19
0
Glory Gilberthi :
mie nilimwotea rafiki ambaye amefariki anaongea akiwa kwa jeneza ila maneno hayasikiki hlf alikuwa amevaa nguo zilezile alizokuwa amezikwa nazo. nisaidie jmn Ina maana gani
2026-09-27 10:15:52
0
monica funny :
naota ndoto inajiludia ludia et nyumbani watu wamejaa kuna misa yamareem nyingine mtoto wangu alivofariki nikaota ndoto bado yupo namnyonyesha ii inaniumiza sana
2026-09-28 20:58:20
0
Ally Robert :
Daah me niliota nalia nanililipo amka kweli nalia machozi mengi paka nikatafuta kitambaa chakuji fta kila nikilala nalia sikuiyo
2026-09-29 16:38:56
1
user8119051907815 :
niliota mtu akinipea malenge nikule inamaana gani
2026-10-01 08:47:32
0
Mrs Mathias♥️ :
kuota napaa je
2026-10-01 08:44:40
0
Boss lady ✨🦋🥰 :
Me naota sana nipo shule na sisomi na sijui kwann na kuna vitu narudi nyuma
2026-10-01 06:15:22
0
Anna Mungure :
hapo kwenye marehem mimi kinaongea na baba na alifariki 2015 mpk chakul anapika tunakul pamojaa
2026-10-01 05:56:00
0
Lasty :
mm nimeota nimetoka kwa sister ya mama yngu na manguo kwa karatasi nikitafita kazi bt kufika nikapata mtu namujuwa kwke anamjuwa mama yngu aka mukoll akamwambia mtoto wako niko nayy bt ako na depression kusikia hivo nikatoroka cjui nikuota ngani hii
2026-09-29 06:42:29
1
To see more videos from user @enockfugo985, please go to the Tikwm
homepage.