@radiomariatanzania: KUMBUKA REHEMA ZAKO EE BWANA Tazama wimbo wa katikati ukiimbwa vema wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika ya 26 ya Mwaka A wa Kanisa katika Parokia ya Watakatifu Wote Kiluvya, Jimbo Kuu la Dar es Salaam. www.radiomaria.co.tz #KapulaMama2026 #UpendoniUshindi