chakula 400,000 jmn ana wageni huko mwilini ama ???
2026-09-27 09:52:09
0
RITAH❤️ :
Kuna mim nalipwa laki tatu lkn Akiba naweka laki tatu na nusu 😂😂😂😂😂
2026-09-27 15:10:01
0
Farm with GATI :
alipwe milioni sadaka inakuwaje 27,yani Mungu ndio wa mwisho? na alisema tutoe asilimia 10 jamani
2026-09-27 15:45:34
0
Am Madam💕🦋 :
mwalimu wa ngazi gani mwenetu maaana mm wa msingi napata laki 5 na chenchii tu😁😁😂😳😳😳😳
2026-09-27 17:15:11
0
Hawwa 🌹🇹🇿 🇴🇲 :
Kodi laki 1 hiyo elfu 50 weka kwenye akiba. Chakula laki 2 na nusu laki na nusu inayobaki wazazi. Gas elfu 50000 hiyo elfu 45 weka kwenye akiba. Usafiri hakuna nitapanga karibu na shule ni mwendo wa kwala hiyo 40000 tunaweka akiba.
2026-09-27 16:38:27
1
Daniel Sumuni :
kumbe mshahara mkubwa hivi, sasa Kwann wanachukua salary advance
2026-09-27 10:37:36
2
Hon Chang-ular Erneo :
transaction fee hujaweka
2026-09-27 11:44:13
1
Gabriel :
mshahara sasa mmh kwa serekali ipi hiuoo😅😅😅😅
2026-09-27 20:50:39
0
Yamu Abdul :
nimepeda.jis ulinyomaliza.😂😂😂😂
2026-09-27 17:06:25
0
Mwalimu Chris :
hyo n mwalimu wa USA ?
2026-09-27 17:13:34
0
OFFICIAL DORCAS💫 :
mwalimu wa private nalipwa hivyo
2026-09-27 18:48:50
0
Invalid :
Mnaongelea Waalimu Gan? wakuu
2026-09-27 16:52:54
0
baba m :
mwalimu apate huo mshahara alinge
2026-09-27 16:59:36
0
sally :
hii burudani ya 20 inapatikana wapi tafadhali😊 nikamalizie weekend 😆 na hizo shule mnalipa 100 ni wapii ndo nihamie uko☺️
2026-09-27 16:32:55
0
tdamsel-misst :
wazazi elf30 hapana
2026-09-27 20:38:25
0
bayte__collection :
Huu mshahara nawapewa walimu wa level gani mwanetu[Teary eyed]
2026-09-27 17:02:07
0
TATA BM🦅🇹🇿(Newman) :
hio gas 95,000 ni ipi
2026-09-27 21:08:16
0
@sungura99_99 :
Inaonekana umewasahau TRA
2026-09-27 16:44:45
0
ANNETTE G. 🇹🇿 🇰🇪 :
kumbe wanalipwa vizurii 🥰🥰🥰🥰
2026-09-27 11:12:15
0
To see more videos from user @gastmedia, please go to the Tikwm
homepage.