@home.clinic6: Hakikisha unaandaa maandalizi haya.. Pilipili manga (ikiwa ya unga ni vizuri). Mdalasini (ukiwa wa unga ni vizuri).. Manjano (ukiwa wa unga au zile mbichi ni sawa).. Tangawizi (ikiwa mbichi utaitwanga iwe laini kabisa).. Maji ya moto glass moja.. Ukihitaji ladha utatia asali mbichi kijiko kimoja..