@user4178760508393:

dokta_mitishamba
dokta_mitishamba
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 09:12:05 GMT
7947
333
30
21

Music

Download

Comments

jay.my.g
jay my G :
YESU NI MUNGU
2026-09-27 10:10:38
12
bextlogic
Best logic :
tutaelewana tu ukweli utasimama Yesu ni Bwana
2026-09-27 16:21:23
8
ismail.mbarouk8
Ismail Mbarouk :
tofautsha kati ya adhaba na mnada wa swala,sheikh wa kwanza amexungumzia mnada wa swala mf swalaa swalaa swalaa hiyo haipo katka adhana,sheikh wa pili amezungumzia adhana mf an swalatu khairuminamum ipo katika adhana ya pili ya alfajir
2026-09-27 10:03:17
4
user3103612328872
¥©UÑG @ẞD¥. ÎSR@£L :
broo kama hujui uliza iyo waliosema apo sio Aya ya quran hayo ni masuala tu ya dini lkn hawazungumzii quran apo Wacha kuwapotosha wasiojua
2026-09-29 04:47:43
0
tito.kimbambo
tito kimambo :
kaka unanipa raha weww🌹🌹🌹 yani saivi takuwa nacoment kila video yako yani ni full burdani
2026-09-27 09:29:57
2
bruno.peter36
Bruno Peter :
😂😅 wazeee wa kubwekaa
2026-09-27 10:00:00
3
user23730731530566
user23730731530566 :
Sasa watumie saa za mikono sio kupigia watu kelele.
2026-09-27 13:19:45
3
merciful0199
user cheichei :
hapo hakuna tafauti sababu wa kwanza kazungumzia kubweka katika sala ya alfajiri ni kusema maneno haya ; nyumba ni kaburi ,jeneza ni kitanda swalaaa swalaa swalaa amka usali ewe muislamu , maneno haya hayakuwahi kuzungumzwa na mtume Wala swahaba wake . kuhusu sheikh wa pili kazungumza kuhusu yupi aliyembora kati ya anayeita watu Kwenda Kwa Allah na yule aitaye watu Kwenda Kwa iblisi na kuhusu kuita katumia neno "Asswalatu khayru minan naumi" maana yake sala ni Bora kuliko usingizi maneno haya yametamkwa mtume yu hai na swahaba zake walikuwepo na hakuna aliyekataza ACHA KUPOTOSHA UMMA QUR'AN HAINA SHAKA KABISA .
2026-09-30 15:01:07
0
fredericoanakulomba
[email protected] :
kazi hipo blaza
2026-09-28 16:00:23
0
bantunaikushomo
BantuNailoOmoCush :
Mungu amempenda wa disco maana anapata pesa anapeleka watoto shule anawanunulia chakula na dawa
2026-09-29 05:04:57
0
francis.festo
Francis Festo :
😂 kumbe kuna wengine wanabwekaaaa.
2026-09-29 16:11:58
0
ameehasan956
Amee Hasan :
wakwanza yupo sawa mana azana moja tu siyo makelele
2026-09-29 11:26:09
0
rasmwas2
Ras mwangi :
hapo ndipo
2026-09-27 11:27:06
0
user4521248680723
Babake omar :
hao kaka wanatudanganya mana sisi hatusome vitabu vyao mana chetu kimetosha ndio mana hatuendi kusoma vyakwao
2026-09-28 20:41:12
0
morepower64
morepower :
tafuta hoja bado hujapata hao hawajapingana hata kidgo
2026-09-27 11:03:53
0
maua821
MAUA/ m🥀🌹 :
2026-09-27 12:23:17
0
shangaz1233
135729468 :
Wanankera na makelele yao bana..
2026-09-28 06:01:13
1
mack_chi
mack chi :
namuunga mkono Mzee wa kubweka, waache kubweka buana, wanasumbua sana asubuhi tukiwa tunasali. 🤣
2026-09-27 11:09:39
0
evelyne9614
evelyne :
🤣🤣😲😲
2026-09-27 10:22:39
0
husseinbenson
UFO :
😂😂😂😂😂😂
2026-09-27 10:00:40
0
moverchrissy
MOVER CHRISSY :
🤣🤣🤣🤣
2026-09-27 09:48:42
0
mamyalia1
🌹mamy🌹❤️ :
😂😂😂😂😂
2026-09-27 09:55:55
0
user9513785387267
Mwali wetu :
😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-28 02:59:10
0
To see more videos from user @user4178760508393, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About