@pascal.kahigi:

Pascal Kahigi
Pascal Kahigi
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 09:17:03 GMT
77815
807
196
107

Music

Download

Comments

reginayohana4
reginayohana4 :
[Laugh approved]mtoto wa kaka mm shangaziyako wa damu[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]usikuje jmn ♥️
2026-09-28 13:04:46
1
roxy49605
Roxy :
naaanza na ya bibi[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-27 18:47:31
0
pascalinabaran
pascalinabaran :
hivi mashangazi mna nin lkn[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-28 21:17:51
0
uche267890987654322
Uche🍇🖇❤️ :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] kwa nn shangazi lakn
2026-09-28 16:04:08
0
sarah.kasunga6
Sarah Kasunga :
apo kwenye nyumbn ya shangazi nachoka mimi[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-28 15:03:27
0
julianamakoba861
Juliana Makoba :
mm nachoma za mashangazi maana baba angu hana kaka na siwapendi aseeee😅😅😅😅😅
2026-09-28 08:28:28
6
jescamy13
@jescamy13❤️ :
sasa punguzen saut shangaz zangu wasikimbie
2026-09-27 19:39:55
3
faipeti
faipeti :
mm nahisi kutakuwa na kikao kikubwa Kwa familia
2026-09-28 13:33:21
1
hidden.pearl37
Hidden pearl 🦋🦋 :
kuweni serious za ukoo mzima itakuwa sh ngapi!!!?
2026-09-28 17:58:14
1
asnathburhan33
Agent girl :
Kuwachoma na wao jumla shingapi
2026-09-27 18:48:43
1
user4735937441638
warda chota :
chenji shingap nianze na ya baba wa mwanangu😅😅😅
2026-09-28 13:03:39
1
tumaini493
MalemaJJ :
Niko hapa nawaza na mimi ni shangazi uwiiii 🙆
2026-09-27 20:18:40
1
user1634910195557
salah kaombwe :
naanza na ya shangazi inafuta ya mtoto wa shangazi inakuja ya baba
2026-09-27 19:20:16
2
danishavu
dan :
na vile shangaz hatuelewan
2026-09-27 20:14:33
1
maryamkhatib920gmail.co1
user918511520417 :
mimi wanipe lakimoja tu
2026-09-27 16:39:51
0
mabegi_freish
mabegi_freish :
mashangazi tunaonewa saana
2026-09-28 07:46:52
0
wanzita.wilfred
Wanzita Wilfred :
nasubiria coment ya mtu hapa
2026-09-28 10:10:30
0
devasneer
felister juma :
🤣🤣🤣🤣 ila hii nch
2026-09-28 10:27:24
0
mamkwe36
Ma Mkwe💕💕 :
Shangazi yule Mkubwa
2026-09-27 20:18:59
0
user2420948771256
user2420948771256 :
mungu wangu,msijje tu mkaanza na mm shangazi mkubwa,maana mtanichoma mm badala ya kuchoma nyumba🤣🤣
2026-09-28 09:23:04
0
ashuramse
my love :
baba wakubwa nawadogo wasisahaulike hapo
2026-09-28 12:06:04
0
user5152257361509
Jasmini Titu :
watu wanamakasiriko ya maisha🤣🤣🤣
2026-09-28 12:32:17
0
ausonmkoba550
son :
kuchoma na viwanja kabisa isionekane ata majivu n bei gani?
2026-09-28 12:48:17
1
anna.hamis0
Anna Hamis :
mimi ntaanza na baba mwenyewe😂😂😂
2026-09-27 18:58:14
1
trinity_sued
Trinity Sued :
nipe mia tano tu 😂😂mashangazi nakuja
2026-09-28 13:15:47
0
To see more videos from user @pascal.kahigi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About