@dajoh_nusu.bei: JAMANIIII JAMANIII JAMANIIII EEEH.🙋‍♂️ Tupo INDIA tunafunga mzigo mpya kabiisa kwaajili yenu wateja wetu wapenda soon utakuwepo dukani kwetu kwa DAJOH NUSU BEI 📍Tunapatikana mtaa wa Tuamoyo,Kigamboni mkabala na kanisa maarufu la Roman barabara ya Machava/Njama ☎️Mawasiliano zaidi tupigie au whatsapp namba ni 0714-206566 KARIBUNI SAANA WATEJA TUNAWAPENDA NA KUWATHAMINI❤️ CC.@da_joh_nusu bei #NewArrivals #DarEsSalaam #fyp #foryou #viral

Dajoh_nusu.bei
Dajoh_nusu.bei
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 27 September 2026 09:28:33 GMT
10401
411
61
11

Music

Download

Comments

quraan.ni.dawa
Suleiman Sharifu :
weeeee
2026-09-29 06:55:51
0
mamy_zyuu1
mamy_zyuu1 :
nakuona mwenyekiti wangu uko na mjomba 😂😂😂
2026-09-27 10:31:48
2
mkali.ukwaju8
Mkali Ukwaju :
mama wewe nimekubali
2026-09-28 22:06:26
0
roselah34
roselah🇹🇿 :
wosaaaaaaaaaaa
2026-09-28 14:08:59
0
nuria.abasi2
Nuria Abasi :
mamaangu ujanani ulikua master wa mabit😁 au sio
2026-09-27 18:29:13
0
editha072
OfficalEditha :
hongera dadaangu
2026-09-27 20:51:10
0
mama_shadiamama_shadia
mama _shadia♥️ :
mwenye kigamboni yako
2026-09-27 15:32:50
0
user59454277610
hidayahamisi :
whozaaaa🥰🥰🥰
2026-09-27 10:25:24
0
salimu.midayo
Salimu Midayo :
piga kazi dada
2026-09-27 20:24:53
0
user9391293942401
user9391293942401 :
da joh wakigambonino upo vizur dear
2026-09-28 09:37:06
0
babyumu6
🦋🌸Sweet umu🌸🦋 :
nakukubali
2026-09-28 09:37:00
0
fetty0586
fetty :
mtandio wangu huwo niwekee
2026-09-27 15:16:33
1
monami1981
DALLAS ME :
Umetisha mama 💪
2026-09-29 08:00:01
0
iamquzie_
L E S S A N D R O ✊️ :
Mzigo mpya sooon🙋‍♂️
2026-09-27 15:17:41
0
rkhamis6
rkhamis :
Muhindi razma alewe tu maana so kwa michano iyooo
2026-09-28 00:42:54
0
shado.oo
Shado Oo :
Nakubal🔥🔥
2026-09-28 07:13:15
0
mohdmxaraijr
Pote😎 :
Da joohh tunakukubali nabadoo nadhani kuna swali Oyaaa awawez elewa watoto wa 2000🤣🤣🤣
2026-09-29 06:22:42
0
bisne034
Nana eggs (Mrs seif) ❤️🥚🍗 :
bei gani kama huwo
2026-09-28 12:10:48
0
chama7582
Chama :
Bei gan uwo nipo Zanzibar nataka please
2026-09-29 03:40:41
0
user6245672943978
maisal :
safi dada angu
2026-09-28 05:08:09
0
fadhilfadha9
Fadhil Fadha :
umetisha mama angu FA uyo 🔥🔥🔥
2026-09-29 09:48:09
0
mamaland112
Grandmaza :
dada naomba uniletee simple za kihindi plss
2026-09-29 10:16:08
0
piganyau
piganyau :
unaweza shangaz
2026-09-29 05:34:56
0
mohamedally365
Mohamed Ally :
uwe makini
2026-09-29 06:34:10
0
khamisibinamu
Binamu dread locks :
nimefatilia kwa kina kumbe huyu mama ndye anamtungia nyimbo FA
2026-09-27 18:20:08
0
To see more videos from user @dajoh_nusu.bei, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About