alhamdulilah nimefanya na nimepata majibu allah akujalie Kila la kheri
2026-09-28 04:00:07
6
imrani org :
mm sijui mung nimekosea nn au sijui zamu yangu bado nimefanya siku saba na sijaona chochote wallah
2026-09-27 09:52:44
8
Ema :
wasoma bismillahi ama full bismillahi rrahmani rrahim
2026-09-27 18:39:48
2
zuu🥰 :
mwenyezi mungu akuongozee na akuongezee ulipo pinguzaa🥰🥰🥰
2026-09-27 09:53:04
4
CHIDY CLASSIC. :
una ushahid juu ya hili wa aya au hadithi?.
2026-09-27 11:22:50
2
hadijakibwana507 :
mashaallah
2026-09-27 12:12:52
1
nasma :
naomba kujua muda na masharti ya kufanikiwa hilo
2026-09-28 07:08:57
1
user9337630057371 :
Alhamdulilah na me nimejibiwa before 24 hrs..😭😭😭ni ndan ya masaa 12 wallah Allah anajibu
2026-09-27 14:11:49
2
░S░E░I░N░ 🇹🇿 :
Nakumbuka hii dua kipindi pacha angu amefariki tuliingiwa na simanzi family nzima basi tulikaa usiku mmoja kuisoma alhamdulillah tunaamka asbh simanzi yote sijui hata ilipokwendea. Allah mjuzi wa yote.
2026-09-27 19:31:47
4
user5287716590497 :
mm pia leo nimejibiwa na nimesoma baada ya swala ya adhuhul
2026-09-27 14:59:58
3
saida :
iyo nia unatia kabla ya kusema iyo bismillah au inakuaje
2026-09-27 15:07:01
1
megna :
Quran ili kula kiapo anishikae simuachi hyo ni hakika
2026-09-28 06:53:00
1
user32766630925940 :
mm sijajaribu kilimuomba Mungu na wote tuombe Mungu tusijalibu na ina faida sana kweli