mwandishi mwanaharakati mungu akuongoze kaka tupiganie
2026-09-27 15:48:32
3
AMI LAST MAN TZ :
💪💪aacheni huyo brother aongee amalize huwa ana points sana za kizalendo na msema kweli jasili anaye jiamini, mungu amlinde na kumpa uelewa zaidi aamin
2026-09-27 12:28:23
18
farajibuteta :
@my journalist khalifan
2026-09-27 11:06:24
6
zanzibar :
democrasia ipi mnayoizungumzia nyinyi
2026-09-27 11:49:26
0
shateendile :
100%
2026-09-27 13:49:27
2
Bernice🌹 :
MUNGU tulindie tu uyu‼️
2026-09-27 17:01:31
1
Bigeyo :
wewe ni most powerful sana
2026-09-27 15:14:37
1
veranMkude :
hizi jamii hazina hofu💪🏽
2026-09-27 18:33:23
0
nascoba :
chama kilichojipa madaraka ya kuongoza nchi kinachojiita chama cha mapinduzi wanachama wake hawaamini kuhusu mapinduzi na hawayataki kbs🤔
2026-09-27 13:11:52
0
Dr safety :
Duuuh
2026-09-27 18:26:43
0
Tik Toker :
khalfani🤔
2026-09-27 11:19:37
0
Rodrick Anael :
khalifa nakupenda sana ila sasa mbona huogopi una ujasiri mkubwa wasije wakakupoteza
2026-09-27 18:06:12
0
Severine Mabirika :
aiseee ww mwamba 🥰🥰
2026-09-27 17:26:07
1
True Faith :
huyu jamaa ni bright sana
2026-09-27 18:35:45
0
Hamad Abdallah :
Waangalieni Kenya wamebadilisha katiba je imemsaidia vipi raiya wavuja Jasho
2026-09-27 19:00:51
0
kurya Boe brand :
😅ww jamaaa noma
2026-09-27 19:04:45
0
𝗕𝗘𝗡 𝗞𝗜𝗦𝗔𝗡𝗚𝗔 🇿🇦 :
Huo ndo UKWELI Walioshika NCHI, Hawataki Kusikia, KATIBA yetu ni MBOVU sanaa!
👉🏿 RAIS anamteua JAJI MKUU, na MA JAJI wengine wote wanateuliwa na yeye. Unategemea Utapata HAKI ya KI-MAHAKAMA??
👉🏿 RAIS ni part ya BUNGE, anamteua adi SPIKA wa BUNGE na ana uwezo wa Kuvunja BUNGE Kikatiba, apo utegemee BUNGE Kua HURU?
👉🏿 RAIS anamteua AFISA MAJESHI MKUU, AFISA POLISI MKUU, AFISA USALAMA MKUU Na VYOMBO vyote vya USALAMA anawateua yeye, apo utegemee VYOMBO vya ULIZI kutenda HAKI??
👉🏿 RAIS anateua Wakurugenzi na commisioners wake wote wa TAASISI za SERIKALI mfano, TUME YA UCHAGUZI, PCCB inayo deal RUSHWA, T.R.A, na zingine Unategemea kupata HAKI APO?? Bora wenzentu KENYA KATIBA yao IPO vizuri sana Kuna SEPARATION OF POWER!
2026-09-27 18:28:36
1
msukuma mnywamaziwa :
ohooo
2026-09-27 11:43:53
1
To see more videos from user @hnswahili, please go to the Tikwm
homepage.