kinachonishangaza ataka maswali alioulizwa asijibu mpaka yapelekwe kwa hao awatakao yy waulize hayo hayo maswali sasa kama maswali no hayo hayo c ujibu tu wakuuliza washauliza sio lazima aulize anaemtaka yy
2026-09-27 13:25:02
0
Abu Fuad :
mungu Akuhigadhi ust. Abdul kadir
2026-09-27 11:21:02
4
yaziduiddy73 :
ushahidi tunao kuwa dilele na abuu hashim wanamsikiliza ushahidi namba moja nipale dilele alipojibiwa kwa hoja yeye akaja akamjibu kwa maneno matupu na kejeli akasema sufi akikwambia kaangalie sehemu fulani kahakikishe utakuta ni uongo ndo akaletewa vitabu na ushahidi hapo ndo alipokimbia hajamradi tena
2026-09-27 15:08:11
0
Seyid Ahmed :
Maa shaa Allah Akhi
2026-09-27 11:36:19
2
Abuu Zeinab :
ww hata hujielewiii
2026-09-27 10:30:46
2
anu :
waongea bila hoja iswamu alikuja mbele na akawafungulia vitabu sio kuongea tu
2026-09-27 17:48:50
1
AbuuMohamed :
maulidi ni badaa .watu wamefahamu sasa
2026-09-27 11:23:40
1
Abu ahmadh :
swadakta
2026-09-27 10:39:00
1
Mussa Hamidu :
Naam kweli kabisa maalim
2026-09-27 11:38:44
1
Ahmad mohammad :
zinawafikia hawana lakujibu[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-27 17:20:49
1
macyh :
km hawamfuatiliii bas wew wapelekee ujumbe "
2026-09-27 15:17:21
1
ALBANY :
wanamjua Tena vizuri sana wewe ndio at hatukujui lkni iswamu ni wetu fakhri yetu
2026-09-28 18:46:05
0
miss mimah❤️ :
kwani watu zamani walikuwa wakitoka kila mahali Wacha hao wewe waona watu msikitini vp waongezeka kuswali ama wanapungua???
2026-09-28 18:48:15
0
user5069506185713 :
🤣🤣🤣🤣okay
2026-09-27 10:57:06
0
To see more videos from user @abdulqadirmasuo, please go to the Tikwm
homepage.